Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Meli inayodaiwa kuwa ya kubeba mafuta imewaka moto katika Bandari ya Kigoma, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto huo umezuka usiku huu wa Agosti 28, 2026 katika eneo la bandari, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa limefika eneo la tukio na kuendelea na jitihada za kuudhibiti na kuuzima.
Hadi sasa, chanzo cha moto huo pamoja na taarifa kuhusu madhara yaliyotokea bado havijawekwa wazi, endelea kufuatilia kurasa za AyoTV kwa ajili ya taarifa zaidi.
28 August 2026
Kigoma, Tanzania
MV PACIFIC, JESHI LA ZIMAMOTO LATOA TAARIFA KUTEKETEA KWA MELI, KIFO NA SHEHENA YA MAFUTA KUUNGUA
On August 28, 2026, a Congolese oil tanker named MV Pacific caught fire and was destroyed on Lake Tanganyika
View: https://m.youtube.com/watch?v=v2bhSYd__XUMeli yaenye usajili wa Congo stater yake yatoa cheche, mamlaka zathibitisha, uwezo lita 160,000 ikipakia mafuta katika bandari ya Kigoma nchini Tanzania.
More info :
Baadhi ya meli zilizopo Lake Tanganyika mbali ya MV Liemba na MV Mwongozo zilizositisha kazi zikiendelea kufanyiwa ukarabati mkubwa, pia zipo meli 2 zinazofanya kazi ambazo ni :
1. MT Sangara, uwezo kubeba tani 350 sawa na lita 410,000
View: https://m.youtube.com/watch?v=LJGICKf_dYs
2. MV Teza imebuniwa na Chris Simopoulos & Associates ya Ugiriki, na kujengwa na Batralac katika mradi unaosimamiwa na Basil Demeris. Ni meli kamili ya makontena ambayo inaweza kupakia makontena 40 ya meli yenye uniti sawa ya futi ishirini (TEU), 26 ndani ya meli na 14 kwenye sitaha. Ina wafanyakazi crew 16. Ina uwezo wa kubeba hadi lita 77,000 ( imp gal 17,000 ; galoni 20,000 za Marekani ) za mafuta.
Nani anamhujumu nani?Hujuma?
Ni meli ya Umma au ya Abdul ?Meli inayodaiwa kuwa ya kubeba mafuta imewaka moto katika Bandari ya Kigoma, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto huo umezuka usiku huu wa Agosti 28, 2026 katika eneo la bandari, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa limefika eneo la tukio na kuendelea na jitihada za kuudhibiti na kuuzima.
Hadi sasa, chanzo cha moto huo pamoja na taarifa kuhusu madhara yaliyotokea bado havijawekwa wazi,
Kama wanashindwa kuzima moto kwenye bweni la shule wataweza meli tena yenye mafutahuku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa limefika eneo la tukio na kuendelea na jitihada za kuudhibiti na kuuzima.
Kama wanashindwa kuzima moto kwenye bweni la shule wataweza meli tena yenye mafuta
28 August 2026
Kigoma, Tanzania
MV PACIFIC, JESHI LA ZIMAMOTO LATOA TAARIFA KUTEKETEA KWA MELI, KIFO NA SHEHENA YA MAFUTA KUUNGUA
On August 28, 2026, a Congolese oil tanker named MV Pacific caught fire and was destroyed on Lake Tanganyika
View: https://m.youtube.com/watch?v=v2bhSYd__XUMeli yaenye usajili wa Congo stater yake yatoa cheche, mamlaka zathibitisha, uwezo lita 160,000 ikipakia mafuta katika bandari ya Kigoma nchini Tanzania.
View: https://m.youtube.com/watch?v=84t-pSWh0aI
More info :
Baadhi ya meli zilizopo Lake Tanganyika mbali ya MV Liemba na MV Mwongozo zilizositisha kazi zikiendelea kufanyiwa ukarabati mkubwa, pia zipo meli 2 zinazofanya kazi ambazo ni :
1. MT Sangara, uwezo kubeba tani 350 sawa na lita 410,000
View: https://m.youtube.com/watch?v=LJGICKf_dYs
2. MV Teza imebuniwa na Chris Simopoulos & Associates ya Ugiriki, na kujengwa na Batralac katika mradi unaosimamiwa na Basil Demeris. Ni meli kamili ya makontena ambayo inaweza kupakia makontena 40 ya meli yenye uniti sawa ya futi ishirini (TEU), 26 ndani ya meli na 14 kwenye sitaha. Ina wafanyakazi crew 16. Ina uwezo wa kubeba hadi lita 77,000 ( imp gal 17,000 ; galoni 20,000 za Marekani ) za mafuta.
Chanzo ni wakati wanaiwasha ilitoa cheche za moto na kusababisha moto kuwaka.inasadikiwa mtu mmoja kapoteza màisha na bado hajatambuliwa.Meli inayodaiwa kuwa ya kubeba mafuta imewaka moto katika Bandari ya Kigoma, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto huo umezuka usiku huu wa Agosti 28, 2026 katika eneo la bandari, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa limefika eneo la tukio na kuendelea na jitihada za kuudhibiti na kuuzima.
Hadi sasa, chanzo cha moto huo pamoja na taarifa kuhusu madhara yaliyotokea bado havijawekwa wazi,
🤣👍👏🙏Tanzania ogopa mambo muhimu matatu ili ufanikiwe:-
1. CCM
2. Dini
3. Simba na yanga