Meli ya Morning Conductor Panama yatia nanga bandari ya Salama,hii sio meli ni lijimeli

Meli ya Morning Conductor Panama yatia nanga bandari ya Salama,hii sio meli ni lijimeli

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Leo historian imeandikwa baada ya bandari ya Dar es salaam kupokea meli kubwa ya Morning Conductor Panama ya nchini Korea,meli hiyo ni kubwa yenye uwezo wa kubeba magari zaidi ya 2000 kwa wakati mmoja au Tani elfu 58.
IMG_20180727_182220_580.jpg
 
Naomba uelewe hizi meli haziji na mzigo wa hapa tu si ajabu gari za dar ni mia tatu tu hua zinakuwa na mizigo ya almost eastern ports of Africa.
Vipi mchango wako kwenye hii habari?

✨🎆🎇Mamlaka ya Bandari (TPA) imevunja rekodi ya makusanyo kwa mwaka wa fedha 2017/18 baada ya kukusanya Sh828bilioni kutokana na huduma zilizotolewa katika meli 2,983 zilizobeba tani za ujazo milioni 34.35.
 
Last edited by a moderator:
Meli iliwahi kutia nanga mtwara pale na magari ya dangote.. tuache kusifia ujinga.. picha zinakuja
..
 
Last edited:
Hiyo meli sio mara ya kwanza kuingia nchini... nilishaiona kwa macho yangu miaka kadhaa iliyopita
 
Mbona hii meli imekuwa ikija nchini kwa miaka mingi? Kwani nini kimebadilika leo?
 
Back
Top Bottom