KihakaAdam
Member
- Jul 24, 2018
- 6
- 3
Suala sio kuchukua mzigo wa Tanzania,Suala ni kupitia bandari yetu ambapo mapato yataingia TANZANIA!!Naomba uelewe hizi meli haziji na mzigo wa hapa tu si ajabu gari za dar ni mia tatu tu hua zinakuwa na mizigo ya almost eastern ports of Africa.