Meli ya Morning Conductor Panama yatia nanga bandari ya Salama,hii sio meli ni lijimeli

Meli ya Morning Conductor Panama yatia nanga bandari ya Salama,hii sio meli ni lijimeli

Naomba uelewe hizi meli haziji na mzigo wa hapa tu si ajabu gari za dar ni mia tatu tu hua zinakuwa na mizigo ya almost eastern ports of Africa.
Suala sio kuchukua mzigo wa Tanzania,Suala ni kupitia bandari yetu ambapo mapato yataingia TANZANIA!!
 
Unasonga mbele kwa meli za wenzako? Acha siasa mkuu.
 
Back
Top Bottom