Meli ya Morning Conductor Panama yatia nanga bandari ya Salama,hii sio meli ni lijimeli

Naomba uelewe hizi meli haziji na mzigo wa hapa tu si ajabu gari za dar ni mia tatu tu hua zinakuwa na mizigo ya almost eastern ports of Africa.
Vipi mchango wako kwenye hii habari?

✨🎆🎇Mamlaka ya Bandari (TPA) imevunja rekodi ya makusanyo kwa mwaka wa fedha 2017/18 baada ya kukusanya Sh828bilioni kutokana na huduma zilizotolewa katika meli 2,983 zilizobeba tani za ujazo milioni 34.35.
 
Last edited by a moderator:
Meli iliwahi kutia nanga mtwara pale na magari ya dangote.. tuache kusifia ujinga.. picha zinakuja
..
 
Last edited:
Hiyo meli sio mara ya kwanza kuingia nchini... nilishaiona kwa macho yangu miaka kadhaa iliyopita
 
Mbona hii meli imekuwa ikija nchini kwa miaka mingi? Kwani nini kimebadilika leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…