Meli yawaka moto Red Sea. Meli za kivita za Marekani na Ufaransa zimeshindwa kuzuia shambulio

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na Algeria [emoji1026] na Libya nao wamesema hawataziacha salama meli za Israhell zitakazopita kwenye bahari yake.
Safi sana
Mayahudi hayatakiwi kuishi kwa amani mpaka yaregelee yalipookotwa kabla ya mwaka 1948
Huko mayahudi yaishi yatakavyo ona inawafaaa
 
Mtakapoona meli z8nazotia nanga bandari ya salama zinashambuliwa pua ndipo mtazinduka na kuacha kushabikia upuuzi wa hizi vita zinazoonesha uhayawani wa binadamu.
Sinazokuja kwetu zinatoka china. Hazipiti hapo kwenye mfereji wa susana ndugu
 
Poleni sana, nasikitika watu wa Yemen kipigo kikianza huyo Allah hatawasaidia, youth wanawasha moto halafu hawawezi kuuzima, ni suala la muda tu, mtatafutana
Tofautisha Houthi na Hamas
Houthi ni kama Hizbollah Wana mamlaka katika mataifa Yao.
Houthi Ina jeshi kamili,makombora ya masafa marefu na mafupi,vifaru,mizinga na drones za kutosha pia Wana uwanda was mazoezi hawajifichi kama Hamas.
 
Allah ni wa wote hata hushangai watu wenye silaha kali na technojia yote kushindwa kukimaliza kikundi kidogo tu cha hamas kwa zaidi ya miaka 70 sasa na kushindwa kuwaokoa mateka zaidi ya 100 kwa zaidi ya miezi mitatu , huoni uwepo wa mungu hapo?
Sasa kama wamejificha nyuma ya raia na pia Hamas hawavai combat za kijeshi wakiwa vitani ila kama hamna vita ni mashababi
 
America kamwambia Israel lazima afungue border vyakula vingie Gaza kama anataka usalama wa wake.

Yemen hakuna atakaye muweza si America, si faransa, si muingereza wala Israel.
 
America kamwambia Israel lazima afungue border vyakula vingie Gaza kama anataka usalama wa wake.

Yemen hakuna atakaye muweza si America, si faransa, si muingereza wala Israel.
Yemen chini ya houthi ni hawashikiki MKUU
Houthi pale wapo kwamalengo maalum na us na shost zake wamelijua
Hasa us unadhani kama ingekua sio hali aliyonayo sasa us hapa duniani na houthi wangekua wabovu sasa hv tungeongea mengine kabisaaa
 
Hapo utakuta na wao mavi yanagonga kyupi nakurudi kwenye chemba[emoji23][emoji23]
 
Viazi hawaoni hilo
 
Umesahau kusema ni meli ya ni Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…