Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

Iran ndio anatoa mkong'oto huko Gaza , Yemen, Hezbollah kule Lebanon ma islamic resistance kule Iraq ila kwakua huna akili huwezi kujuwa. Iran yupo vitani na marekani na israeli hawawezi kumfanya chochote.
Hakuna asiyejua hilo mkuu, kwanini asihusike moja kwa moja mpaka akajifiche nyuma ya migongo ya hao wahuni uliowataja. Baada ya yale matamko yake ya kuvuka mstari mwekundu aliishia wapi, alifyata kuona zana vita za Marekani sikisogezwa israel.
 
Iran anachokitafuta atakipata tu, amewindwa kwenye mtego wa Gaza ameukimbia kwa uoga ila kuna siku atanasa tu. Yeye ndiye amehusika kulipuliwa kwa hiyo meli ya mfanya biashara wa israel na hata ile ya kwanza yeye ndiye ali coordinate utekaji wake.
Israel hajashambulia maslahi ya Iran Syria!?
 
Nmesikia safina el mamluki israili kweli kiarabu ni kibantu back to the topic wakipigwa mtaandamana na mtapiga ukunga kuomba huruma ya dunya
Kiarabu sio kibantu mkuu. Bali kiswahili Ni lugha chotara Kati uarabu na kiarabu Vs lugha za kibantu hasa kigiriama (Kenya) na lugha nyingine za kibantu wakati wa maingiliano ya Waarabu na wabantu
 
Kiarabu sio kibantu mkuu. Bali kiswahili Ni lugha chotara Kati uarabu na kiarabu Vs lugha za kibantu hasa kigiriama (Kenya) na lugha nyingine za kibantu wakati wa maingiliano ya Waarabu na wabantu
Hahaha nilikua namchokoza bi tarabushi TU mkuu Ili aseme nakufuru ila chakushangaza kanijibu kiungwana kwelikweli nikakosa nguvu za kuendelea na ligi
 
Hivi mpalestina angekuwa mbahai au mhindu ungekuwa na uchungu nae. Vipi Congo sio watu wale
Sasa unakuwaje na uchungu na kongo wakati wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa tamaa zao za mali ww hata ukitaka kuwasaidia wenyewe hawapo willing hawapo tayari kujitoa kwa ajili ya nchi yao wao kukata mauno tu ndio wanajuwa
 
Houthis wakijificha madrasa au clinic watafariki na watoto wao Mimi sishabikii vita naamin all lives matters vita Ione tu aljazeera au kwa movie za Rambo ila kiuhalisia ni kitu ambabcho huwez kumtakia hata adui yako , Mimi nmeishi Liberia kipind Cha mwisho Cha Charles Taylor acha kabisa mjukuu wangu mambo
Enhe lete madini mkuu tupe experience
 
Hakuna asiyejua hilo mkuu, kwanini asihusike moja kwa moja mpaka akajifiche nyuma ya migongo ya hao wahuni uliowataja. Baada ya yale matamko yake ya kuvuka mstari mwekundu aliishia wapi, alifyata kuona zana vita za Marekani sikisogezwa israel.
Hyo kawaida tu mbona hata usa+ nato kule ukraine aliishia kupeleka silaha na wanajeshi kimya kimya hajatangaza basi na ujue hata hapo hezbollah wanaoshambulia sio hezbollah tu hata jeshi la iran lipo kazini hapo lebanon
 
Wayemeni walisema hawataki kabisa meli za mazayuni ikatize kwenye sehemu wanazozifikia, yaani wasizione kabisa kwenye bahari yao au ya karibu yao, mpaka wawache kabisa kuwauwa na kuwatesa Wapalestina bila ya sababu yoyote.

Baada ya kuiteka meli moja wiki iliyopita sasa wameripua nyingine tatu zikiwa baharini:

View attachment 2825256

Na hizbollah wanaendelea kutuma makombora ya mbali huko Kaskazini mwa Israel kama mnavyojionea kwenye video clip.
Bi mkubwa usiwe na ushabiki wa kutokuelewa. Hapo unaweza kuta ni mchongo wa nweye meli na mizigo kwa kupata insurance.
 
Magaidi lazima wapate kile walichokuwa wanakitafuta,kulipua meli hakutawapunguzia kipigo wanachopata Gaza.
 
Sasa unakuwaje na uchungu na kongo wakati wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa tamaa zao za mali ww hata ukitaka kuwasaidia wenyewe hawapo willing hawapo tayari kujitoa kwa ajili ya nchi yao wao kukata mauno tu ndio wanajuwa
Kwa hiyo Palestina ndio wako sawa. Je Isarael alivyofanyiwa na Hitler ilikuwa sawa?
Sasa unakuwaje na uchungu na kongo wakati wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa tamaa zao za mali ww hata ukitaka kuwasaidia wenyewe hawapo willing hawapo tayari kujitoa kwa ajili ya nchi yao wao kukata mauno tu ndio wanajuwa
Kwa hiyo Palestine wanapigania nchi sio. Sio dini yao.
 
Back
Top Bottom