rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 161
- 128
Habari watanzania,
Naomba kujua kama uwekezaji wa DP world bandari umeongeza speed ya ufanisi kazi au ndio kwanza mambo yamekuwa taratibu.
Nime experinece kutoa container mbili.
Meli nyingii sasa zinachukua zaidi ya wiki 3 naa mpaka kufunga na kushusha Mizigo. Wakati zamani ilikuwa ndani ya siku 10 meli imeshafunga na kushusha mizigo.
Sasa naona kama hakuna mabadiliko sanaa. Nilitegemea ndani ya siku tano au wiki container ya mtu inakuwa imetoka tayari.
Kwa sasa ukiuliza agent anakwambia mambo ya DP world hayo. Tunaomba serikali ifatilie hili kwa kweli. Maana mfano meli imefika tarehe 10 May mpaka sasa haijafunga na kushusha mizigo.