Mema Tanzania
Member
- Feb 23, 2020
- 66
- 65
Asante! Unaweza kusoma jarida hili lenye kusheheni masuala mbalimbali yanayohusu vijana kupitia kiunganishi mema-magazine-edition-1-tumesomeka
Shukrani kwa mchango wako Ziroseventytwo 🙏Jitahidini mtuletee makala za kujitambua. Kama ilivyokuwa kwa jarida la jitambue lake marehemu Munga Tehanan.
Tunashukuru kwa kutambua mchango na kazi hii.Safi! Kazi nzuri!