Mema ya kijamii anayofanya hawayaoni lakini moja la kupost nyumba yake anaambiwa mswahili.

Unamiaka 46 lakin mambo yako ya kitoto sana...hulingani na hichi ulicholeta kwa great thinker
 
Pole ndugu sina umri huo.Mods walikosea sijui hata jinsi ya kuedit hapo nimemaliza form four mwaka juzi.piga hesabu Nina miaka mingapi sasa.
 
Acha kujitetea jitu zima unasumbua jf kwa umbeyaaa ivi huoni aibu...mtoto wa kiume hana mambo hayo yako
 
Pole ndugu sina umri huo.Mods walikosea sijui hata jinsi ya kuedit hapo nimemaliza form four mwaka juzi.piga hesabu Nina miaka mingapi sasa.
Mkuu acha kusumbuka na wanadamu, WAAMBIE KAMA WAMEAMINI HUO UMRI WAKO,BASI WAAMINI NA HIYO AVATAR YAKO KUWA WEWE NI MZUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…