Mema ya kijamii anayofanya hawayaoni lakini moja la kupost nyumba yake anaambiwa mswahili.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
MEMA YA KIJAMII ANAYOFANYA HAWAYAONI LAKINI MOJA LA KUPOST NYUMBA YAKE ANAAMBIWA MSWAHILI.
1477844613050.jpg
 
Unamiaka 46 lakin mambo yako ya kitoto sana...hulingani na hichi ulicholeta kwa great thinker
 
Pole ndugu sina umri huo.Mods walikosea sijui hata jinsi ya kuedit hapo nimemaliza form four mwaka juzi.piga hesabu Nina miaka mingapi sasa.
 
Acha kujitetea jitu zima unasumbua jf kwa umbeyaaa ivi huoni aibu...mtoto wa kiume hana mambo hayo yako
 
Pole ndugu sina umri huo.Mods walikosea sijui hata jinsi ya kuedit hapo nimemaliza form four mwaka juzi.piga hesabu Nina miaka mingapi sasa.
Mkuu acha kusumbuka na wanadamu, WAAMBIE KAMA WAMEAMINI HUO UMRI WAKO,BASI WAAMINI NA HIYO AVATAR YAKO KUWA WEWE NI MZUNGU.
 
Back
Top Bottom