Memba Kiboko kwa Chai tamu hapa Jf

Memba Kiboko kwa Chai tamu hapa Jf

Mzee wa kurekebisha

Senior Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
178
Reaction score
169
Miongoni mwa watu ambao wanaongoza kwa Chai hapa JF basi Mshana na Gudume
ni Kiboko hebu nisaidie memba wengine wana chai safi niwatafute Kidogo maana kwangu
huu ndo uwanja wa kuondoa Msongo wa mawazo.
Ikiwezekana tuwekee baadhi ya Link za hizo chai.
 
Eti huu nao uzi..
Badala ya kujitahidi na wewe ili usifiwe uaanzisha uzi wa kusifia dume mwenzio
 
Back
Top Bottom