Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,014
Reaction score
1,903
Hello,

Member gani amekuwa bora kwako kwa miaka yote ya JF au tangia umeingia na umekuwa ukimfuatilia na kijifunza kitu kupitia yeye.

Binafsi ni MSHANA JR na MPWAYUNGU VILLAGE.

Nisiyemuelewa ni GENTAMYCINE ujuaji na FAIZA FOX udini.

Karibu Unitajie memba unayevutiwa nae na sababu na memba usiyemuelewa.
 
Back
Top Bottom