Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

chamsingi utamu wa papai na yale majimaji yake[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sanaa, nimezeeka mie.

Wee wanakufaa wapyaa, sasa mie nimeanza kuliaa kitambooo utamu ushaishaa na hata uchachuu umekata, nimekuwa cna ladha yoyotee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa mbona unataka afu hutaki😂

sikuelewi
 
Watafufuka watu kutoka makaburi ya chuki kuja kukiwasha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nawasubiri kwa hamu

Nyie nyoooka mko wapi?!!! Mje mtupe burudani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom