Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

Ahahahahah sirudiii kumchokoza huyo sikutegemea ilo jibu

Ankol hajawahi kufeli kwenye majibu ya papo kwa papo, ushindwe wewe tu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyooookoo kumbe unaogopa kuachika
Kuachikaa usawaa huu mchezooo?? Wee kuwezaaa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siogopi kurogwa, mwenyewe nshavurugwa!!!

Dawa za kuoga nimekunywa, za kunywa nimeoga wewe huogopi?!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Badooo hujanishawishiiii uduguuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hello,

Member gani amekuwa bora kwako kwa miaka yote ya JF au tangia umeingia na umekuwa ukimfuatilia na kijifunza kitu kupitia yeye.

Binafsi ni MSHANA JR na MPWAYUNGU VILLAGE.

Nisiyemuelewa ni GENTAMYCINE ujuaji na FAIZA FOX udini.

Karibu Unitajie memba unayevutiwa nae na sababu na memba usiyemuelewa.
Mkuu mimi je?
 
Back
Top Bottom