Memba yupi unamuelewa na usiyemuelewa JF?

tulia wewe[emoji23]

namuambia atume picha hataki

Afu pisi kali, sema kaamua kuwafanya kanyaboya kwenye avatar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi nilimuona live

Nasemaje Nasemaje

Bonge la pisi la kwendea, mwenyewe nilishtuka sikuamini afu hana njaa kabisa!!!
Nawashangaa hata hamjiongezi, humu fake I’d sio zote za single maza na wajane kuna pisi hazitaki stress zinaamua kuja kuburudika humu!!

Wizo nisamehe kwa kutoa siri yako, kifua changu chepesi mwenzio [emoji85]
 
tulia nifanye mchakato😂 umenipa amsha amsha
 
Back
Top Bottom