Uchaguzi 2020 Membe achanja mbuga kuliko Tundu Lissu, arejesha fomu mapema sasa anasubiri maamuzi ya chama

Uchaguzi 2020 Membe achanja mbuga kuliko Tundu Lissu, arejesha fomu mapema sasa anasubiri maamuzi ya chama

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hizi ni zama za teknolojia mambo yanapaswa kwenda kwa haraka.

Mgombea urais wa JMT mh Benard Membe wa ACT Wazalendo leo amerejesha fomu zake baada ya kuzijaza na kudhaminiwa kwa mujibu wa katiba ya chama chake.

Sasa anasubiri baraka za chama ili aweke hadharani vipaumbele vyake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Not sure game plan ipi aliyonayo Membe. This is madness
 
This is democracy!
Indeed. Inawezekana Democracy yetu ina maana tofauti. CCM itatawala milele kwa mtindo huu. Membe asingefukuzwa CCM, leo hii bila shaka asingekuwa huko ACT akipretend kugombea urais

Membe huyuhuyu amekiri kwamba CCM ni vinara wa wizi wa kura (ameshiriki pakubwa...) ila bado anapretend kwamba ataweza kuwachallenge wakati system ni ile ile
 
katika hatua ya kurudisha fomu kwa vyama vyao, unapambanishaje watu hawa wawili walio vyama tofauti??....ama kweli nchi hii ninyi wasomi ndiyo mnaongoza kwa upu.mbavu
 
Membe yuko kwenye mtandao wako tu,angalia hata vyombo vya Habari hakuna hata kina kinachompa kipaumbele.
 
Suala muhimu Kwa sasa ni kupata mgombea mmoja wa upinzani Probably T. Lissu au yeyote yule lakini sio Membe (kachero wa CCM).
 
Membe anajitahidi kuridhisha wakubwa kwa mikataba ya white elephant, bandari bagamoyo na gesi ili kuwapoza apate nguvu toka kwao vinginevyo giza mbele
 
Na baba yenu alirudisha lini form kwenye chama cha chaputa(ccm) aliyoprint yake tu.
 
Kuamini kuwa Membe anashinda na ikitokea kinyume chake ndio mwanzo wa kulalamika mmeibiwa kura, lakini ukweli kila mmoja wao anajua nini kitatokea.
 
Back
Top Bottom