Uchaguzi 2020 Membe achanja mbuga kuliko Tundu Lissu, arejesha fomu mapema sasa anasubiri maamuzi ya chama

Uchaguzi 2020 Membe achanja mbuga kuliko Tundu Lissu, arejesha fomu mapema sasa anasubiri maamuzi ya chama

Dah...angalau sasa bandari ya wachina ya bagamoyo itajengwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labda membe ndo awe mgombea mwenza.
ngoma droo chadema msifanye makosa kwa jicho la tatu na tadhimi yangu ya haraka mnaenda vizuri mpitisheni lissu na mgombea mwenza mpitishe FATUMA KARUME
MKITAKA KUJUA KURA ZENU MWAKA HUU KABLA YA UCHAGUZI NI RAHISI SANA
Fungua akauti ya mpesa.tigo,air tel bahada ya kumpitisha mgombea alafu zifanyie bland, naamanisha kila atakae mpa kura mgombea wenu atume sh mia{100 tsh} so hata atakae tuma mia tano au zaidi ila iesabu kama sh 100. kwa njia iyo nyepesi mpaka unaingia kwenye uchaguzi unakua tiyari una makadilio ya kura zako na hapo mnaongezea njia zenu za kisasa zaidi mlizonazo
 
Ikiwa Lissu atapita basi mgombea mwenza hakuna mwengine ila ni Fatma Karume.ajiunge.na CDM.tu! Sioni mgombea mwenza mwengine zaidi yake.
 
Hizi ni zama za teknolojia mambo yanapaswa kwenda kwa haraka.

Mgombea urais wa JMT mh Benard Membe wa ACT Wazalendo leo amerejesha fomu zake baada ya kuzijaza na kudhaminiwa kwa mujibu wa katiba ya chama chake.

Sasa anasubiri baraka za chama ili aweke hadharani vipaumbele vyake.

Maendeleo hayana vyama!
Membe hana impact yoyote
 
Mtoa mada yupo vizuri. Alijua akimsifia Bernard na kumponda Antiphas nyumbu wengi watanasa. Na amefanikiwa sana kwenye hili.....
 
MEMBE NI MJANJA SANA CCM WAMWANGALIE SANA
Hana ujanja wowote bro, atagombea uraisi atashimdwa na baadae finally atarudi kwenye chama Chao, kama alivyo fanya lowasa na wengin e, na pia anaenda kugombea uraisi kwa hii tume tulio nayo haiko huru kwani 95% ina kibeba chama tawala, kwahio bwana membe anajua wazi kwamba anakwenda pambana na ukuta ambapo matokeo yake atashimdwa, ila kama tume ingekua huru na matokeo ya uraisi yanapingwa mahakamani hapo ingekua bye bro.
 
2020 naona Bernard Membe akigonga hodi kwenye mlango wa CCM. (Come back) 😀 😀 😀
 
Indeed. Inawezekana Democracy yetu ina maana tofauti. CCM itatawala milele kwa mtindo huu. Membe asingefukuzwa CCM, leo hii bila shaka asingekuwa huko ACT akipretend kugombea urais

Membe huyuhuyu amekiri kwamba CCM ni vinara wa wizi wa kura (ameshiriki pakubwa...) ila bado anapretend kwamba ataweza kuwachallenge wakati system ni ile ile
Anajua inavyofanya kazi, usione mpaka mwenyewe ameamua kutumbukia kwenye kinyang'anyiro, Kama sio mission ya kugawanya kura za wapinzani bhasi anajua atawabana wapi CCM.
 
katika hatua ya kurudisha fomu kwa vyama vyao, unapambanishaje watu hawa wawili walio vyama tofauti??....ama kweli nchi hii ninyi wasomi ndiyo mnaongoza kwa upu.mbavu
Bogus huyo jamaa
 
Sasa anasubiri baraka za chama ili aweke hadharani vipaumbele vyake.

Ameshaweka hadharani vipaumbele vyake wakati anapokelewa ACT, we uko wapi, Bhujarrati?

Kasema atafufua mkataba wa Kichina wa kilaghai wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, kama ambavyo walianza na kaka yake. Kitu ambacho kitatokea kama tu ni juu ya miili yetu iliyokufa na kupoa ubaridi.
 
Back
Top Bottom