Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Membe alikuwa anapingana na maistream thought katika Chama. Alisema siyo sahihi kusema mtu akiwania urais katika Chama analeta factions katika Chama,na kama ukiiita 'faction' you do it for want of a better word,kwa sababu mtu akiamua naye pia anataka kuwa rais siku moja, that is just human nature, na Democrats na Republicans wote wanarudi katika Chama kuomba ridhaa upya,lakini hapa tunaongea kuhusu utaratibu tuliojiwekea wa rais kuongoza vopindi viwili automatically.