Uchaguzi 2020 Membe alisema ana wafuasi wengi watamfuata, mbona kama naona ni uongo?

Uchaguzi 2020 Membe alisema ana wafuasi wengi watamfuata, mbona kama naona ni uongo?

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
392
Reaction score
383
Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.

Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.

Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
 
Hebu Act wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili,badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
mmeanza, ngoja tuone
 
Halazimiki to prove uongo wowote aliosema. Tayari ametimiza nia yake ya kuteuliwa kuwa mgombea urais. Hayo ya ahadi za tsunami ya wanachama wapya hayamuhusu. ACT kama chama watajiju.
 
Watu hawendi kwa mdomo
Watu wanaenda kwa mihela kama lowasa
 
Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.

Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.

Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
mnataka wajitangaze ili muanze kuwafanyizia unyama, unafikiri tumesahau kauli yenu mlipowatishia wale watakaokatwa ili wasijiunge na upinzani?
 
Mzee Membe bora angeamua akajistaafia akapumzika zake!! Siasa za Upinzani sidhani kama ataziweza... bado nangoja siku akiongeza dk 5 tu jukwaani namna antakavyoshushwa na tanganyika jeki..

Kuwa upinzani ni kujitoa maisha yako!!
 
Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.

Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.

Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?

Membe anaungwa mkono na mkewe, watoto, na watu wa Rondo ambako ni nyumbani kwake. Nje ya hapo Membe ni galasa tu.
 
Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.

Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.

Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
Yeye na zito sasa wanahangaika na turufu nyingine ya kuungana kwa chadema ili wakimalize kabisa
 
Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.

Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.

Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
Membe ni TISS tena rank ya juu na ameishi kwenye hiyo post kwa muda mrefu..anaweza kukengeuka viapo vyote lakini sio hicho
Membe hakujitoa ccm ..alifukuzwa..bado alikuwa anakipenda chama na bado ana mapenzi nacho...mazingira yakibadilika hatasita kurudi
Membe hajawahi kuwa mpinzani na hatakuja kuwa mpinzani..hata kama ata force ni kwa muda tuu..hana mizizi hana future na upinzani..huko yeye ni mgeni kabisa..hana company hana rafiki wa kujadiliana naye mambo ya msingi ya uchaguzi
Membe ni mmojawapo wa viongozi wa ccm na serikali waliohakikisha upinzani haupumui na kuimarika bila vikwazo na figisu za kila aina
Membe ni kweli kabisa ana wafuasi wengi ccm na ana nguvu pia LAKINI ni mpaka awe ndani ya ccc na si nje...kumbuka NGUVU YA MAMBA KUMAI
 
Membe amekataliwa na kilichokua chama chake toka ujana CCM sabubu yeye ni hasara zaidi ya faida kwa chama na kwa taifa. Niwakumbushe tuu ACT kwamba sauti ya watu ni sauti ya Mungu
 
Mtu yupo kwenye payroll ya system unategeme atafanya kitu gani kukuz upinzani?
 
Kweli hana waliomfata alitudanganya
kumbushodawson_20200905_154128_0.jpg
 
Back
Top Bottom