Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
TISS ndio wanapiga kura?wengi wapo TISS, huwezi waona jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TISS ndio wanapiga kura?wengi wapo TISS, huwezi waona jukwaani
wanapiga kura, wanajua mbinu zote zinazotumika kuhujumu uchaguzi.TISS ndio wanapiga kura?
Acheni wamaliziè kupulizia sulfa kwenye mikorosho kwanza watakuwa kwa mawfuHebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
Kipofu kamuongoza kipofu mwenzake. Wametumbukia shimoni. DadaadekiHebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
Angehamia chadema angepata wafuasi wengi tuWatu wanaangalia upepo unaendaje!Asitegemee kupata watu wakumfuata.Na uchaguzi ukiisha ni lazima arudi nyumbani kama Edo.
Proffessional politicians kama zitto ndio wanazingua watu kama membe kufikiri wana wafuasi kibao kumbe wako kaputi. Mtu kama membe hana lolote zaidi ya kuutaka urais lakini hana nia wala hajui atawafanyia nini raia zaidi ya kula bata. Mtu aliyejisifu awamu yao ya 4 kupishana hewani wakienda ulaya ana faida gani kwa maslahi ya mtanzania wa kawaida?Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
Uko sahihi mkuu,mnataka wajitangaze ili muanze kuwafanyizia unyama, unafikiri tumesahau kauli yenu mlipowatishia wale watakaokatwa ili wasijiunge na upinzani?