BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
mmeanza, ngoja tuoneHebu Act wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili,badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
Kimwili wapo SISIEMU ila kiroho wapo EISITI!............
Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
mnataka wajitangaze ili muanze kuwafanyizia unyama, unafikiri tumesahau kauli yenu mlipowatishia wale watakaokatwa ili wasijiunge na upinzani?Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
Hebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
Yeye na zito sasa wanahangaika na turufu nyingine ya kuungana kwa chadema ili wakimalize kabisaHebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
Membe ni TISS tena rank ya juu na ameishi kwenye hiyo post kwa muda mrefu..anaweza kukengeuka viapo vyote lakini sio hichoHebu ACT- Wazalendo mtuonyeshe faida ya Membe.
Katika hali ya kawaida nilitegemea labda Membe atatoa mashambulizi upande wa pili, badala yake amekuwa kama mgeni harusini.
Wale watu aliosema watamfuata wako wapi?
wengi wapo TISS, huwezi waona jukwaaniKweli hana waliomfata alitudanganyaView attachment 1559536