HahahahahahInchi hii ngumu sana, anamsema mwenzake kua raisi wa MiundoMbinu while yy muda wote anazungumzia mahusiano ya kimataifa...kweli Nyani hajawahi ona Kundule...[emoji1787][emoji1787]
Heheheheh sawa sawaSema jamaa lilikuwa na roho mbaya tu.
Hakuwa na ahead of thinking yoyote.
Sasa si ungetusaidia kujua ni kwa nini JPM alikataa Membe kuwa katibu mkuu wa jumuia? Yaani akaona bora kiti kiende nchi nyingine? Why alifanya hivi??
MaCCM wamefikia kiwango cha kuona akili za Mwendawazimu yule ni ilani ya Chama.Sema jamaa lilikuwa na roho mbaya tu.
Hakuwa na ahead of thinking yoyote.
Mawazo ya kipindi tuu hayo, yaani fedha za jumuia ya madola iliwe tuu kirahisi rahisi kama jinsi ile Trilioni 1.3 mlivyoitafuna na kumfukuza Prof Assad??Membe interest yake ilikuwa apige hizo paundi billion 7 sio kwamba alikuwa na msaada sana na Tanzania.
Hizi ndizo akili za wanasiasa wa bongo na Magu alijua akimpa mwanya wa hizo hela angemletea ugumu kutawala sababu amekuwa mpinzani toka jina lake lilipokatwa.
Mi sijahusika na show hio mzeeMawazo ya kipindi tuu hayo, yaani fedha za jumuia ya madola iliwe tuu kirahisi rahisi kama jinsi ile Trilioni 1.3 mlivyoitafuna na kumfukuza Prof Assad??
Ilikuwa lazima awe na roho mbaya ili awanyooshe vibwengo wachache mliozoea kuitafuna nchi kama kampuni ya familia.Sema jamaa lilikuwa na roho mbaya tu.
Hakuwa na ahead of thinking yoyote.
Umepiga kwenye mshono watoto wa mjini wanasemaga😄Mawazo ya kipindi tuu hayo, yaani fedha za jumuia ya madola iliwe tuu kirahisi rahisi kama jinsi ile Trilioni 1.3 mlivyoitafuna na kumfukuza Prof Assad??
Mimi naona ni sawa kupata hizo fedha za jumuiya ya madola, ni haki yetu sababu uingereza ilichukua rasilomali zetu nyingi. Imejijenga na kupata nguvu kupitia Mali zetu na nguvu za Babu zetu. Ni haki yetu kupata hizo pound.
Roho mbaya ndio, Rais wa nchi yule sio mtawa wa shirika la kimisionari.Roho Mbaya Ilikuwa Inamsumbua tu
Hakuwa Raia yuleSura ya marehemu na roho yake vilifanana.
Yawezekana alikuwa siyo mtanzania,
Nani kawakataa?Hahahhaa wewe unipanikishe MIMI? aagh wapi, jenga hoja twende kwa hoja, JK na Membe ndio unawakataa sasa hivi? kweli wewe ni shetani, CCM hamnaga akili kabisa
Mwambie Membe sasa haya maushauri yakoHahahaha Crimea Mimi Ni Kidume tena nazeeka sasa, umri wangu huenda ukawa mkubwa sana kwako, anyway, siwezi kupaniki ila nimekukumbusha tu kuw akuna maisha baada ya siasa, usikose utu. Tubishane bila kugusa hisia hasa za watu ambao vifo vyao vinaumiza, tena unataja kwa kujitapa.
Kweli wewe ni mjinga unajua kazi alizofanya membe akiwa tiss no 2 vs mwalimu wa kemia
Au blaza we ushawahi kumskia akiongelea kingine zaidi ya mahusiano ya kimataifa?Hahahahahah
Kaa kimya basi usiingilie na kushadadia mambo yasiyokuhusuMwambie Membe sasa haya maushauri yako
Km alovyotaka kukabidhiwa mabilioni ya Ghadafi?[emoji1787][emoji1787]Ananifurahisha "ningekabidhiwa pounds bilioni 9 " anaangalia pesa tu! Tuseme angepewa nchi ataangalia pesa tu!
in between the lines, ukimsoma vizuri membe ni kama anawakosoa wahafidhina wa ccm/tanzania wanaodhani samia anaongoza kwa kufuata ushauri wa kikwete.... (naona anatikisa asiowaweza, ngoja tuone)Kama umemsoma vizuri Membe hapo juu kwenye mazungumzo yake akiwa yeye na Kikwete wakimhoji Bill Clinton kuhusu nafasi ya Hillary kushinda uchaguzi wa Marekani last time...
Anakiri wazi Clinton alimwambia Kikwete kwamba Hillary hawezi kushinda kwasababu wahafidhina walidhani wakati ule wakimchagua Hillary awe Rais wa Marekani, basi angeongoza nchi kwa namna aliyoongoza Clinton himself.
Membe anaendelea kusema; "Clinton akamwambia Kikwete hakuna Rais anaeingia madarakani akaongoza kama mtangulizi wake, kwani kila Rais hukutana na changamoto zake na huzitatua kivyake".
Lakini la ajabu kwenye haya mahojiano yake anamlaumu Magufuli kwa kufuata mawazo yake kwenye kutawala, huku akijificha kwenye kivuli cha "maslahi ya nchi".
Kumbe alitaka Magufuli awabebe, awape vyeo huko CCM na serikalini, lakini kwasababu Magufuli hakufanya hivyo, ndio hasira za Membe zikalipuka, naona bora aache kulia lia, kwani ameshakiri mwenyewe kila Rais hutawala kwa namna yake na hukutana na changamoto zake.