Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Inchi hii ngumu sana, anamsema mwenzake kua raisi wa MiundoMbinu while yy muda wote anazungumzia mahusiano ya kimataifa...kweli Nyani hajawahi ona Kundule...[emoji1787][emoji1787]
Hahahahahah
 
Membe interest yake ilikuwa apige hizo paundi billion 7 sio kwamba alikuwa na msaada sana na Tanzania.

Hizi ndizo akili za wanasiasa wa bongo na Magu alijua akimpa mwanya wa hizo hela angemletea ugumu kutawala sababu amekuwa mpinzani toka jina lake lilipokatwa.
Mawazo ya kipindi tuu hayo, yaani fedha za jumuia ya madola iliwe tuu kirahisi rahisi kama jinsi ile Trilioni 1.3 mlivyoitafuna na kumfukuza Prof Assad??
 
Mawazo ya kipindi tuu hayo, yaani fedha za jumuia ya madola iliwe tuu kirahisi rahisi kama jinsi ile Trilioni 1.3 mlivyoitafuna na kumfukuza Prof Assad??
Mi sijahusika na show hio mzee
 
Sema jamaa lilikuwa na roho mbaya tu.

Hakuwa na ahead of thinking yoyote.
Ilikuwa lazima awe na roho mbaya ili awanyooshe vibwengo wachache mliozoea kuitafuna nchi kama kampuni ya familia.

Roho nzuri ya kazi gani? ili iweje? Kwani ni MTAWA yule? A commander in chief of the armed forces awe na roho nzuri ya kazi gani?

Eti roho mbaya!! NDIO roho mbaya kweli kweli lakini nchi inasonga na inapaa kwenda juu kwa kasi.
 
Mawazo ya kipindi tuu hayo, yaani fedha za jumuia ya madola iliwe tuu kirahisi rahisi kama jinsi ile Trilioni 1.3 mlivyoitafuna na kumfukuza Prof Assad??
Umepiga kwenye mshono watoto wa mjini wanasemaga😄
 
Mimi naona ni sawa kupata hizo fedha za jumuiya ya madola, ni haki yetu sababu uingereza ilichukua rasilomali zetu nyingi. Imejijenga na kupata nguvu kupitia Mali zetu na nguvu za Babu zetu. Ni haki yetu kupata hizo pound.
===
Hawa ndiyo watoa hela na wana maamuzi. Katibu mkuu wa junuiya ya madola hana mamlaka na hela hizo. Si zake. Katibu anakuwa anatafuta mshahara wake wala si masilahi mapana ya nchi yake.

Naweza nisiwe sahihi.
 
Roho Mbaya Ilikuwa Inamsumbua tu
Roho mbaya ndio, Rais wa nchi yule sio mtawa wa shirika la kimisionari.

Mlizoea kudekezwa kama mazuzu, mnatafuna tu nchi kama mchwa.

Hata ingekuwa mimi ningekuwa na roho chafu kweli kweli kuliko ya shetani ili kuinyoosha nchi.

Mijitu mijizi jizi tu, uvivu uvivu tu, siasa uchwara, uswahili swahili tu... yaani nyinyi mnastahili kuchapwa bakora kweli kweli.
 
Hahahhaa wewe unipanikishe MIMI? aagh wapi, jenga hoja twende kwa hoja, JK na Membe ndio unawakataa sasa hivi? kweli wewe ni shetani, CCM hamnaga akili kabisa
Nani kawakataa?

Mimi nazungumzia unafiki wa Membe kuzungumzia maauji kipindi cha MAGUFULI wakati kipindi chake na swahiba wake JK yakitokea mauaji hadi ya kurusha mabomu kwenye mkutano
 
Hahahaha Crimea Mimi Ni Kidume tena nazeeka sasa, umri wangu huenda ukawa mkubwa sana kwako, anyway, siwezi kupaniki ila nimekukumbusha tu kuw akuna maisha baada ya siasa, usikose utu. Tubishane bila kugusa hisia hasa za watu ambao vifo vyao vinaumiza, tena unataja kwa kujitapa.
Mwambie Membe sasa haya maushauri yako
 
Ananifurahisha "ningekabidhiwa pounds bilioni 9 " anaangalia pesa tu! Tuseme angepewa nchi ataangalia pesa tu!
 
Kama umemsoma vizuri Membe hapo juu kwenye mazungumzo yake akiwa yeye na Kikwete wakimhoji Bill Clinton kuhusu nafasi ya Hillary kushinda uchaguzi wa Marekani last time...

Anakiri wazi Clinton alimwambia Kikwete kwamba Hillary hawezi kushinda kwasababu wahafidhina walidhani wakati ule wakimchagua Hillary awe Rais wa Marekani, basi angeongoza nchi kwa namna aliyoongoza Clinton himself.

Membe anaendelea kusema; "Clinton akamwambia Kikwete hakuna Rais anaeingia madarakani akaongoza kama mtangulizi wake, kwani kila Rais hukutana na changamoto zake na huzitatua kivyake".

Lakini la ajabu kwenye haya mahojiano yake anamlaumu Magufuli kwa kufuata mawazo yake kwenye kutawala, huku akijificha kwenye kivuli cha "maslahi ya nchi".

Kumbe alitaka Magufuli awabebe, awape vyeo huko CCM na serikalini, lakini kwasababu Magufuli hakufanya hivyo, ndio hasira za Membe zikalipuka, naona bora aache kulia lia, kwani ameshakiri mwenyewe kila Rais hutawala kwa namna yake na hukutana na changamoto zake.
in between the lines, ukimsoma vizuri membe ni kama anawakosoa wahafidhina wa ccm/tanzania wanaodhani samia anaongoza kwa kufuata ushauri wa kikwete.... (naona anatikisa asiowaweza, ngoja tuone)
 
Back
Top Bottom