Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Mbona hata magu alitafuna nchi kwa maslahi yake binafsi.

Binadamu yeyote anapopata nafasi lazima atafune tu.

Sema magu alikuwa anajiona mjanja akawa anataka atafune yeye na nduguzake wa karibu wa kanda ya ziwa.

Ndo mana ndani ya miaka 6 ya uongozi wake kailundikia miradi ya kufa mtu chato.

Ubinafsi uliopitiliza.

Now tushamfukia nchi inasonga bila yeye.
 
Naye mbona hajatuambia nini kilimfanya Magufuli amchukie kiasi hicho.?
Mama sidhani kama kuna mtu anaweza kukuchukia bila Sababu lazima kuwe na kitu.!
 
Maneno ya mlevi haya.
 
Umeongea maneno mazito na yenye ukweli mtupu.
 
Ama kweli amepasua jipu! Magufuli alikuwa mtu wa roho Mbaya sana na asiyetumia akili katika maamuzi yake.
Membe hasione tumenyamaza,
1:Candle la Ushoga na msaada wa Uingereza Enzi ukiwa waziri wa Mambo ya Nje
2: Kuna mwingine analopokalopoka ,tunakumbuka alipokuwa waziri wa utalii 1992 aliuza mbuga ( Otterlo Business Corporation) Km 15000M^2 loliondo corridor!

Mmeingiza nchi katika migogoro mikubwa na kwakuwa wakuwasema hayupo mnalopoka tu.
Hii inatupa picha hiki kibibi kinalinda masilahi yenu, sio kwa ulopokaji huuu, kamilisheni Mambo yenu tu, utawala utarudi kanda ya ziwa mtaona
 
Namsubiri mwalimu wa shule ya Uongozi aje kujibu tuhuma. Ila kwa Bashiru ni sawa maana alikuwa na kiburi sana sasa hivi hata kusikika tu hataki.
 
maneno ya membe yanatia hauruma bt katika uhalisia kwa tabia za membe alistahili kufanyiwa yote aloyasema, huyu mama nae alipochukua mamlaka alidai anaponya majeraha bt cha ajabu ndani ya muda mfupi kashajionesha yupo team ya majangili yalolitia hasara kubwa taifa, watanzania tusihadaike katiba na tume huru ndo mwarobaini wa taifa letu
 
Utawala hauwezi kurudi tena kwa wachunga ng'ombe washamba wakubwa nyinyi.

Kazi yenu mnayojua ilikuwa kupora pesa za watu hata waliojipatia kwa njia halali mkiwatumia sabaya na bashite.

Taarifa zenu zote zinajulikana ni kustiliana tu ndo kunawaokoa washambawashamba kama makonda.

Narudia tena nyie wachunga ng'ombe sahauni uongozi mmeshaonyesha ni watu hatari sana.
 

Sasa kama umri wako ni mkubwa mbona unaishia kutukana watu kuwa “Mbwa nyinyi” nilidhani kwa ukubwa wa umri wako ungeweza kabisa ku adress hisia zako kwa lugha ya kiungwana kuendana na umri wako.Hapa Crimea alichofanya ni kukumbusha tu,kama awamu ya tano inatuhumiwa kwa hayo aliyoyasema Membe na yeye amekumbushia hata Awamu ya 4 ambayo Membe alikuwa kinara kuna Kina Mwangosi na Ulimboka ni baadhi ya Wahanga pia.
 
Inchi hii ngumu sana, anamsema mwenzake kua raisi wa MiundoMbinu while yy muda wote anazungumzia mahusiano ya kimataifa...kweli Nyani hajawahi ona Kundule...[emoji1787][emoji1787]

Jamaa analilia nafasi aliyobaniwa maana kule kulikuwa na billions of Pounds,ambazo angepewa,alitaka azipige kama alivyopiga zile za Gadaffi ndicho kinamuuma mpaka sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
r
Ulitaka awe wangapi kwa watu waliopotea bila kujulikana walipo? Ben Saanane, Azori na wengine wengi bila kusahau mateka kama MO na waliokaa lupango miaka minne kama Ruge.
 
"Mungu halishwi ugali"
Huyu mzee wa bumbuli anamisemo yake ya ajabu
Tanzania tatizo si uongozi wala sera tatizo ni kupata mtu ambaye anania thabiti ya kuipigania nchi na wananchi wake
 
Wewe badala ya kujiekeleza kumpigania mwenyekiti wa CDM dhidi ya udhalimu wa kufunguliwa kesi isiyoeleweka unakimbilia habari za Membe anayepigana na kivuli kisichokuwepo!!!

Achana na huyo anawapotezea muda na hana impact zozte kwa nchi wala sio presidential material labda kama umelipwa kumbadikia chuki zake dhidi ya JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…