Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Mh. Rais Uhuru Kenyatta na wananchi wa Kenya jinsi wanavyofahamu umuhimu wa raia wake kupigiwa debe apate nafasi za uongozi kimataifa tayari wameonesha kumuunga mkono kwa kila hali kupitia jopo maalum, media, majukwaa ya mitandao ya kijamii n.k wote wanaonesha furaha ya raia mwenzao kupata uwezekano wa kupata nafasi ya juu zaidi kimataifa.

Tayari secretariat maalum imeundwa kuhakikisha ushawishi unafanyika kwa Mh. Monica Juma waziri wa Ulinzi wa Kenya aliyewahi pia kuhudumu kama waziri wa mambo ya nje anapata kuungwa mkono nje ya Kenya baada ya serikali ya Kenya kuona anafaa na nchi ya South Africa ni miongoni mwa nchi za mwanzo kuunga mkono mwafrika mwingine kutoka Afrika apate kuongoza kama Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.

Kenya proposes defence cabinet secretary Monica Juma for position of SG of the Commonwealth

Kenya has proposed its defence cabinet secretary Monica Juma for the position of Secretary-General of the Commonwealth. The East African nation has began lobbying diplomats to consider Juma for the post. The current Secretary-General Patricia Scotland has served over two years on her first term, following the postponement of the Commonwealth Heads of Government Meeting in Rwanda. SABC East Africa Correspondent Sarah Kimani spoke to Juma moments after she launched her bid.

Source : SABC News

N.B
Turudi mwaka 2015 November
Bernard Carmillius Membe pia wakati wa utawala wa mwendazake hayati rais John Pombe Joseph Magufuli, angeipata nafasi ya Katibu wa Jumuiya ya Madola kiulaini kwa kuungwa mkono na mtaji wa kihistoria wa nchi za SADC, EAC chini ya Uenyekiti wa Uhuru Kenyatta na ubobezi wa kudiplomasia wa Jakaya Kikwete bila kusahau ilikuwa ni zamu ya Afrika kupata nafasi hiyo...

The next Commonwealth Secretary General​

Published: 7 October 2021Topics: Africa, Caribbean, Kenya, Monica Juma, Patricia Scotland, Secretary General, Uhuru Kenyatta

Since the announcement in August of a Kenyan candidate for the post of Commonwealth secretary general, there has been a slow diplomatic and media exchange of views from those supporting incumbent, Baroness Patricia Scotland, and the Kenyan nominee, the country’s defence minister, Monica Juma.

Round Table has been following the comments and collating some of the articles issued in the last month on this issue. We will continue to update this post over the next few weeks.

Kenya Defence minister Juma proposed for Commonwealth top job – The East African

Kenya’s President Wants ‘Steadfast Leadership’ By Commonwealth Secretariat – Sir Ron Sanders (column), The Voice St Lucia

‘Stalking horse’ battle to eject Baroness Scotland as Commonwealth head – The Times, London

Kenya makes strong case for Defence CS Juma as best for Commonwealth post – The Standard, Kenya

“UK destroying Commonwealth family” – EasternEye

CARICOM leaders discuss wide-ranging issues, including Commonwealth Secretary General – Jamaica Observer

Editorial | Choosing the Commonwealth secretary general – The Jamaica Gleaner

Kenyatta’s bid to grab the Commonwealth’s secretary general post angers members – Africa Intelligence

‘Our Commonwealth family cannot afford to be divided’ – Sydney Morning Herald

Kenya: Juma Launches Commonwealth Bid in Meeting With Diplomats in London – All Africa.com

No such thing as ‘turns’ for Commonwealth Secretary-General – Sir Ron Sanders (column),

Source : The next Commonwealth Secretary General - The Round Table

View attachment 1999290
The Rt Hon Patricia Scotland QC is the current Commonwealth Secretary-General.

The Secretary-General is nominated by Commonwealth leaders and can serve a maximum of 2 terms of 4 years each.

Former Commonwealth Secretaries-General​

  • Kamalesh Sharma of India (2008-2016)
  • Don McKinnon of New Zealand (2000-2008)
  • Chief Emeka Anyaoku of Nigeria (1990-2000)
  • Sir Shridath ‘Sonny’ Ramphal of Guyana (1975-1990)
  • Arnold Smith of Canada (1965-1975
 
Unaonaje kama Lowassa angekuwa rais 2015 huyo membe angepata ukatibu mkuu wa MADOLA? Nasema hivo kwa sabubu membe kipindi Magu anaingia alikuwa na maadui wengi huwezi jua hata Magufuli alishawishiwa na Lowasa team akamkatalia! Ila kwa ujumla Membe uwezo wakeni mdogo atulieamalizie pensheni!
Umemfanyia assessment gani hata ukasema uwezo wake ni mdogo? Wacheni kudharau watu musiowajua.
 
Paundi bilioni saba zilikiwa ziwe chini ya usimamizi wake sio za kwake.
Ok, naona Membe ameamua kufunguka ila ajue wengine aliowasema bado wako hai, hapa naona vita ya maneno itaenda kuanza very soon huko CCM, na zaidi zile kelele za "hawa wa kanda hii" na "wale wa kanda ile" zitazidi kushika kasi na hili litakuwa kikwazo kwenye serikali ya Samia hasa baada ya Rais kusikika akisema hamtumbui mtu kutokana na kabila lake.

Membe anachofanya kwa kifupi ni kuonesha zamu yao ya kujidai imerudi, ndio maana juzi amesikika Mzee Makamba akisema Mungu halishwi ugali analishwa maombi na akayasikia, leo Membe anakuja na hili, Kinana nae aliwahi ku tweet siku za nyuma akionesha sasa mambo yao safi, na Makamba mdogo karudishwa serikalini, kwao ni mwendo wa kucheka cheka tu huku wakitudanganya wanatibu majeraha.

Katiba Mpya ndio suluhu yetu, ije kutuondoa kwenye haya makundi yanayojiona yana hati miliki ya kututawala, waroho wa madaraka wasioshiba, Membe alitaka kubebwa na Kikwete mambo yakagoma baada ya Lowassa kutemwa, ile vita ndio ikamzaa Magufuli, lakini japo alionekana "neutral" wakati ule, bahati mbaya nae akaja kutengeneza kundi lake.

Tuache kuishi kwa kutegemea fadhila za hawa walafi wanaojidai kutupenda, ni waongo na wanafiki wanaoyapenda zaidi matumbo yao.

Kumbe Membe alitaka kwenda kuwa KM Common wealth ili apate paundi bilion 7 wakati bado hajatuambia zile za Gaddaffi ilikuwaje. Basi Magufuli alimkataa kwasababu alizijua tabia zao hawa wapenda pesa, huu sio muda wao wa kutoka mafichoni na kuanza kupiga kelele kama wanavyodhani kwani bado ni wachafu kwa matendo waliyofanya siku za nyuma, Kinana pembe za ndovu....

Wacha niendelee kufuatilia kesi ya Mbowe naamini yule wanayelazimisha kumfunga mdomo ndie mwenye threat kwao, na wote kwa pamoja bila kujali makundi yao chamani huungana kumpiga vita ili waendelee kuitafuna nchi yetu kama ni mali ya baba yao, naamini iko siku taifa hili litaupata ukombozi wa kweli.
 
Kikubwa Membe kasema ukweli moyo wake upate amani.

Lakini sijui kwanini hayo yote yalitokea, anyway Mungu anajua
Naona wa kusema ukweli lengo kupoza mioyo wanazidi kuongezeka....sawa sawa,...Dialo, Vicky Kamata, Membe...ect ect na wengine watakuja....marehemu hatetwi. Wanatufanya watanzania zero brain kabisa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa anaongeaga pumba sana yani zamani alikuwa na heshima flani hivi enzi za Jakaya ila toka ametikiswa na Magufuli basi amekuwa kama mtoto aliyenyimwa pipi [emoji1][emoji1][emoji1]!

Ana makasiriko sana na anaropoka upuuzi tu kiasi kwamba credibility yote imepotea.
Yaani mchizi alifikiir maisha mepesi sana, kakosa urais 2015basi hapo hapo are legitimate kupata u KM Commonwealth.
Maisha hayaendi hivyo bwana Kamilius Membe. Aambiwe, again anajua kabisa fitna na dharau alizomfanyia JPM kuelekea 2015, sema tu marehemu hasemwi.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jiwe
Membe hafai sana kuwa kiongozi Mkuu wa nchi in general, asingeweza fanya hata robo ya JPM aliyofanya.

Ila niseme wazi, kwa hili la Ukatibu wa Commonwealth, hapa JPM kamfanyia roho mbaya sana Membe, hii ni roho mbaya kabisa, kwa hili JPM alionyesha usukuma wake na ujinga wake, JPM kuna mambo mengine alifanya ana roho mbaya kweli aisee.

Unamzibiaje mtanzania mwenzako nafasi kubwa hivyo? Kisa tu eti mlichuana ndani ya Chama kugombea nafasi ya urais. Kiukweli JPM alikuwa mtu wa visasi sana. Alafu unamtumia Musiba kumchafua Membe na baadhi ya wastaafu kila kona waliokupigia kampeni hadi ukawa Rais, huu ni upumbavu na ujinga sana.
 
Ok, naona Membe ameamua kufunguka ila ajue wengine aliowasema bado wako hai, hapa naona vita ya maneno itaenda kuanza very soon huko CCM, na zaidi zile kelele za "hawa wa kanda hii" na "wale wa kanda ile" zitazidi kushika kasi na hili litakuwa kikwazo kwenye serikali ya Samia hasa baada ya Rais kusikika akisema hamtumbui mtu kutokana na kabila lake.

Membe anachofanya kwa kifupi ni kuonesha zamu yao ya kujidai imerudi, ndio maana juzi amesikika Mzee Makamba akisema Mungu halishwi ugali analishwa maombi na akayasikia, leo Membe anakuja na hili, Kinana nae aliwahi ku tweet siku za nyuma akionesha sasa mambo yao safi, na Makamba mdogo karudishwa serikalini, kwao ni mwendo wa kucheka cheka tu huku wakitudanganya wanatibu majeraha.

Katiba Mpya ndio suluhu yetu, ije kutuondoa kwenye haya makundi yanayojiona yana hati miliki ya kututawala, waroho wa madaraka wasioshiba, Membe alitaka kubebwa na Kikwete mambo yakagoma baada ya Lowassa kutemwa, ile vita ndio ikamzaa Magufuli, lakini japo alionekana "neutral" wakati ule, bahati mbaya nae akaja kutengeneza kundi lake.

Tuache kuishi kwa kutegemea fadhila za hawa walafi wanaojidai kutupenda, ni waongo na wanafiki wanaoyapenda zaidi matumbo yao.

Kumbe Membe alitaka kwenda kuwa KM Common wealth ili apate paundi bilion 7 wakati bado hajatuambia zile za Gaddaffi ilikuwaje. Basi Magufuli alimkataa kwasababu alizijua tabia zao hawa wapenda pesa, huu sio muda wao wa kutoka mafichoni na kuanza kupiga kelele kama wanavyodhani kwani bado ni wachafu kwa matendo waliyofanya siku za nyuma, Kinana pembe za ndovu....

Wacha niendelee kufuatilia kesi ya Mbowe naamini yule wanayelazimisha kumfunga mdomo ndie mwenye threat kwao, na wote kwa pamoja bila kujali makundi yao chamani huungana kumpiga vita ili waendelee kuitafuna nchi yetu kama ni mali ya baba yao, naamini iko siku taifa hili litaupata ukombozi wa kweli.
Tangia huu mwaka uanze leo ndo umeongea point[emoji23]
 
Hawa kima Membe sijui wanatuchukuliaje yaan....
Maslahi yao binafsi wanayageuza kuwa maslahi ya Taifa.
Wanatuona kama mazuzu vile
 
“Sasa mimi nimetoka katika intelligence, nina network, there is no doubt at all kwamba Magufuli, Bashiru na Polepole ndiyo walikuwa wanahusika. Kwahiyo nikavumilia, lakini kilichoniuma ni pale Bashiru alipojitokeza rasmi kumuunga mkono Musiba na kunipiga vita mimi. Nikiwa Zimbabwe katika uchaguzi nikasema kumbe ndiyo tumefikia katika pointi hiyo.
Mwisho wa kunukuuu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom