Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Namshukuru JpM mshamba kutoka Chato kumshushia kitu kizito kichwani membe na woteeeeee ambao kila kukicha wanalialia jinsi vitumbua vyao vilivyotiwa mchanga. Mungu akuweke mahali pema peponi Mr Pombe Magu.
 
Nakubaliana na yote hapo juu ILA HAYO KWENYE PARAGRAPH YA MWISHO! Hapana.
 
Hata Lowassa akiweka wazi kilichomkuta akapigwa chini na kikwete tutamhurumia, huyu jamaa tumpuuze maana anatafuta huruma kupitia migogoro binafsi ya kisiasa isiyo na manufaa yoyote kwa taifa.
 

Alishakwambia mahari alipozipeleka trilioni 1.5?
 
Waliojaribu kumsema wapo wapi leo?
 

Ninani Aliye Mkosoa Magufuli Kwenye Utawala Wake Na Akabaki Salama,
 
JPM alizima master switch ya Taifa ili awashe ya kwake Binafsi!
Machokoraa kina Sabaya, Bashite, Bashiru, Heri, Pole pole nk wakatumia fursa kujimwambafy...
 
Inchi hii ngumu sana, anamsema mwenzake kua raisi wa MiundoMbinu while yy muda wote anazungumzia mahusiano ya kimataifa...kweli Nyani hajawahi ona Kundule...[emoji1787][emoji1787]

Bora hata miundombinu tunaiona. huo uhusiano wake akahusiane naye mwenyewe.
Na wengine wamemshitukia. anakuja na kiki ya MWAKA 2025.
 
Namshukuru JpM mshamba kutoka Chato kumshushia kitu kizito kichwani membe na woteeeeee ambao kila kukicha wanalialia jinsi vitumbua vyao vilivyotiwa mchanga. Mungu akuweke mahali pema peponi Mr Pombe Magu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mtu anayekubania riziki yako,siyo mtu mzuri, wala huwezi kumpenda hata kidogo.
 
Kumbe kuna wakati unatumia akili vizuri, na unakua na balance ya mawazo.
Kama hayo yange fanyika na nyie muda mrefu wale wenye mawazo machafu chadema makawalipua na wale walafi na majambazi ndani ya CCM mkayatolea hoja vizuri nchi hii tungeishabadilisha kisiasa
Kuna watu ndani ya ccm ni walafi wa matumbo yao na ndo wengi ambao mmekuwa mkiwashabikia bila kujua na pengine mkidhani mnamkomoa magufuli, lakini ni hatali kwa mustakabali wa nchi.
 
Acha ukabila mpumbavu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…