Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
zipiAlishakwambia mahari alipozipeleka trilioni 1.5?
Bernard Carmillius Membe pia wakati wa utawala wa mwendazake hayati rais John Pombe Joseph Magufuli, angeipata nafasi ya Katibu wa Jumuiya ya Madola kiulaini kwa kuungwa mkono na mtaji wa kihistoria wa nchi za SADC, EAC chini ya Uenyekiti wa Uhuru Kenyatta na ubobezi wa kudiplomasia wa Jakaya Kikwete bila kusahau ilikuwa ni zamu ya Afrika kupata nafasi hiyo...
The Secretary-General is nominated by Commonwealth leaders and can serve a maximum of 2 terms of 4 years each.
zipi
Umemfanyia assessment gani hata ukasema uwezo wake ni mdogo? Wacheni kudharau watu musiowajua.Unaonaje kama Lowassa angekuwa rais 2015 huyo membe angepata ukatibu mkuu wa MADOLA? Nasema hivo kwa sabubu membe kipindi Magu anaingia alikuwa na maadui wengi huwezi jua hata Magufuli alishawishiwa na Lowasa team akamkatalia! Ila kwa ujumla Membe uwezo wakeni mdogo atulieamalizie pensheni!
Magu alikua na roho mbaya sana tena ile kishenzi.
Lkn pia kama huyu Membe ndio wanasema aliwahi kua ni bonge la shushushu hakika tulipigwa,ni empty brain kabisa.
Ok, naona Membe ameamua kufunguka ila ajue wengine aliowasema bado wako hai, hapa naona vita ya maneno itaenda kuanza very soon huko CCM, na zaidi zile kelele za "hawa wa kanda hii" na "wale wa kanda ile" zitazidi kushika kasi na hili litakuwa kikwazo kwenye serikali ya Samia hasa baada ya Rais kusikika akisema hamtumbui mtu kutokana na kabila lake.
Membe anachofanya kwa kifupi ni kuonesha zamu yao ya kujidai imerudi, ndio maana juzi amesikika Mzee Makamba akisema Mungu halishwi ugali analishwa maombi na akayasikia, leo Membe anakuja na hili, Kinana nae aliwahi ku tweet siku za nyuma akionesha sasa mambo yao safi, na Makamba mdogo karudishwa serikalini, kwao ni mwendo wa kucheka cheka tu huku wakitudanganya wanatibu majeraha.
Katiba Mpya ndio suluhu yetu, ije kutuondoa kwenye haya makundi yanayojiona yana hati miliki ya kututawala, waroho wa madaraka wasioshiba, Membe alitaka kubebwa na Kikwete mambo yakagoma baada ya Lowassa kutemwa, ile vita ndio ikamzaa Magufuli, lakini japo alionekana "neutral" wakati ule, bahati mbaya nae akaja kutengeneza kundi lake.
Tuache kuishi kwa kutegemea fadhila za hawa walafi wanaojidai kutupenda, ni waongo na wanafiki wanaoyapenda zaidi matumbo yao.
Kumbe Membe alitaka kwenda kuwa KM Common wealth ili apate paundi bilion 7 wakati bado hajatuambia zile za Gaddaffi ilikuwaje. Basi Magufuli alimkataa kwasababu alizijua tabia zao hawa wapenda pesa, huu sio muda wao wa kutoka mafichoni na kuanza kupiga kelele kama wanavyodhani kwani bado ni wachafu kwa matendo waliyofanya siku za nyuma, Kinana pembe za ndovu....
Wacha niendelee kufuatilia kesi ya Mbowe naamini yule wanayelazimisha kumfunga mdomo ndie mwenye threat kwao, na wote kwa pamoja bila kujali makundi yao chamani huungana kumpiga vita ili waendelee kuitafuna nchi yetu kama ni mali ya baba yao, naamini iko siku taifa hili litaupata ukombozi wa kweli.
Naona wa kusema ukweli lengo kupoza mioyo wanazidi kuongezeka....sawa sawa,...Dialo, Vicky Kamata, Membe...ect ect na wengine watakuja....marehemu hatetwi. Wanatufanya watanzania zero brain kabisaKikubwa Membe kasema ukweli moyo wake upate amani.
Lakini sijui kwanini hayo yote yalitokea, anyway Mungu anajua
Yaani mchizi alifikiir maisha mepesi sana, kakosa urais 2015basi hapo hapo are legitimate kupata u KM Commonwealth.Jamaa anaongeaga pumba sana yani zamani alikuwa na heshima flani hivi enzi za Jakaya ila toka ametikiswa na Magufuli basi amekuwa kama mtoto aliyenyimwa pipi [emoji1][emoji1][emoji1]!
Ana makasiriko sana na anaropoka upuuzi tu kiasi kwamba credibility yote imepotea.
Membe hafai sana kuwa kiongozi Mkuu wa nchi in general, asingeweza fanya hata robo ya JPM aliyofanya.
Ila niseme wazi, kwa hili la Ukatibu wa Commonwealth, hapa JPM kamfanyia roho mbaya sana Membe, hii ni roho mbaya kabisa, kwa hili JPM alionyesha usukuma wake na ujinga wake, JPM kuna mambo mengine alifanya ana roho mbaya kweli aisee.
Unamzibiaje mtanzania mwenzako nafasi kubwa hivyo? Kisa tu eti mlichuana ndani ya Chama kugombea nafasi ya urais. Kiukweli JPM alikuwa mtu wa visasi sana. Alafu unamtumia Musiba kumchafua Membe na baadhi ya wastaafu kila kona waliokupigia kampeni hadi ukawa Rais, huu ni upumbavu na ujinga sana.
Upande wa pili wa hii hadithi unaonyesha roho ya kutopenda kuona mtanzania yupo juu ya JPM kicheo na kiumaarufu."kule kuna hela nyingi" ndio akili zao zilivyo, ndicho alichoona cha maana. ndio maana JPM alimchinjia baharini alishajua akili yake.
alafu ndio huyu mnayemsema ni presidential material?
Tangia huu mwaka uanze leo ndo umeongea point[emoji23]Ok, naona Membe ameamua kufunguka ila ajue wengine aliowasema bado wako hai, hapa naona vita ya maneno itaenda kuanza very soon huko CCM, na zaidi zile kelele za "hawa wa kanda hii" na "wale wa kanda ile" zitazidi kushika kasi na hili litakuwa kikwazo kwenye serikali ya Samia hasa baada ya Rais kusikika akisema hamtumbui mtu kutokana na kabila lake.
Membe anachofanya kwa kifupi ni kuonesha zamu yao ya kujidai imerudi, ndio maana juzi amesikika Mzee Makamba akisema Mungu halishwi ugali analishwa maombi na akayasikia, leo Membe anakuja na hili, Kinana nae aliwahi ku tweet siku za nyuma akionesha sasa mambo yao safi, na Makamba mdogo karudishwa serikalini, kwao ni mwendo wa kucheka cheka tu huku wakitudanganya wanatibu majeraha.
Katiba Mpya ndio suluhu yetu, ije kutuondoa kwenye haya makundi yanayojiona yana hati miliki ya kututawala, waroho wa madaraka wasioshiba, Membe alitaka kubebwa na Kikwete mambo yakagoma baada ya Lowassa kutemwa, ile vita ndio ikamzaa Magufuli, lakini japo alionekana "neutral" wakati ule, bahati mbaya nae akaja kutengeneza kundi lake.
Tuache kuishi kwa kutegemea fadhila za hawa walafi wanaojidai kutupenda, ni waongo na wanafiki wanaoyapenda zaidi matumbo yao.
Kumbe Membe alitaka kwenda kuwa KM Common wealth ili apate paundi bilion 7 wakati bado hajatuambia zile za Gaddaffi ilikuwaje. Basi Magufuli alimkataa kwasababu alizijua tabia zao hawa wapenda pesa, huu sio muda wao wa kutoka mafichoni na kuanza kupiga kelele kama wanavyodhani kwani bado ni wachafu kwa matendo waliyofanya siku za nyuma, Kinana pembe za ndovu....
Wacha niendelee kufuatilia kesi ya Mbowe naamini yule wanayelazimisha kumfunga mdomo ndie mwenye threat kwao, na wote kwa pamoja bila kujali makundi yao chamani huungana kumpiga vita ili waendelee kuitafuna nchi yetu kama ni mali ya baba yao, naamini iko siku taifa hili litaupata ukombozi wa kweli.
Hawa kima Membe sijui wanatuchukuliaje yaan....Ok, naona Membe ameamua kufunguka ila ajue wengine aliowasema bado wako hai, hapa naona vita ya maneno itaenda kuanza very soon huko CCM, na zaidi zile kelele za "hawa wa kanda hii" na "wale wa kanda ile" zitazidi kushika kasi na hili litakuwa kikwazo kwenye serikali ya Samia hasa baada ya Rais kusikika akisema hamtumbui mtu kutokana na kabila lake.
Membe anachofanya kwa kifupi ni kuonesha zamu yao ya kujidai imerudi, ndio maana juzi amesikika Mzee Makamba akisema Mungu halishwi ugali analishwa maombi na akayasikia, leo Membe anakuja na hili, Kinana nae aliwahi ku tweet siku za nyuma akionesha sasa mambo yao safi, na Makamba mdogo karudishwa serikalini, kwao ni mwendo wa kucheka cheka tu huku wakitudanganya wanatibu majeraha.
Katiba Mpya ndio suluhu yetu, ije kutuondoa kwenye haya makundi yanayojiona yana hati miliki ya kututawala, waroho wa madaraka wasioshiba, Membe alitaka kubebwa na Kikwete mambo yakagoma baada ya Lowassa kutemwa, ile vita ndio ikamzaa Magufuli, lakini japo alionekana "neutral" wakati ule, bahati mbaya nae akaja kutengeneza kundi lake.
Tuache kuishi kwa kutegemea fadhila za hawa walafi wanaojidai kutupenda, ni waongo na wanafiki wanaoyapenda zaidi matumbo yao.
Kumbe Membe alitaka kwenda kuwa KM Common wealth ili apate paundi bilion 7 wakati bado hajatuambia zile za Gaddaffi ilikuwaje. Basi Magufuli alimkataa kwasababu alizijua tabia zao hawa wapenda pesa, huu sio muda wao wa kutoka mafichoni na kuanza kupiga kelele kama wanavyodhani kwani bado ni wachafu kwa matendo waliyofanya siku za nyuma, Kinana pembe za ndovu....
Wacha niendelee kufuatilia kesi ya Mbowe naamini yule wanayelazimisha kumfunga mdomo ndie mwenye threat kwao, na wote kwa pamoja bila kujali makundi yao chamani huungana kumpiga vita ili waendelee kuitafuna nchi yetu kama ni mali ya baba yao, naamini iko siku taifa hili litaupata ukombozi wa kweli.
Mwisho wa kunukuuu“Sasa mimi nimetoka katika intelligence, nina network, there is no doubt at all kwamba Magufuli, Bashiru na Polepole ndiyo walikuwa wanahusika. Kwahiyo nikavumilia, lakini kilichoniuma ni pale Bashiru alipojitokeza rasmi kumuunga mkono Musiba na kunipiga vita mimi. Nikiwa Zimbabwe katika uchaguzi nikasema kumbe ndiyo tumefikia katika pointi hiyo.
Amefanya nini utujuze wengine ambao hatujui.Kweli wewe ni mjinga unajua kazi alizofanya membe akiwa tiss no 2 vs mwalimu wa kemia