Kumbe katengeneza asali. Safi sanaJPM kama nyuki tu,alikazana kutengeneza asali tu,
Jitu lilikuwa na chuki kama shetani
Kweli watanzania wana raha sana kwa ibilisi kuondokaNini kinamvutia kwa Serikali ya Rais Samia?
Kuhusu mwenendo wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, anasema kitu cha kwanza ni raha ya Watanzania ya kupokea mabadiliko ya uongozi wa nchi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]Tatizo lugha, aliona kazi ya kumwelezea CV za Membe mbele ya viongozi wenzake ni tabu, ndio sababu! Akaona isiwe shida ni kuto mwi endorse.
Tunataka katiba mpya. Hizo zingine ni porojo tu.
Kama ilivyokuwa ka yule mwovu aliyeondoka.Hawa kima Membe sijui wanatuchukuliaje yaan....
Maslahi yao binafsi wanayageuza kuwa maslahi ya Taifa.
Wanatuona kama mazuzu vile
Acha watu wajimwage.Naona wa kusema ukweli lengo kupoza mioyo wanazidi kuongezeka....sawa sawa,...Dialo, Vicky Kamata, Membe...ect ect na wengine watakuja....marehemu hatetwi. Wanatufanya watanzania zero brain kabisa
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Wanasiasa wa upinzani wengine wanapambana na kesi ya ugaidi wengine bado wako nje ya nchi pamoja na kwamba ni miezi zaidi 7 tangu Magufuli afariki. Sasa sijui bado anahangaika nao akiwa kaburiniMkuu kitendo cha watu kukutwa kwenye viroba,utekaji wa watu,wanasiasa wa upinzani kuuwawa nk binafsi si hesabu zuri hata moja kwake japo alikuwa rafiki yangu pindi akiwa waziri na namuomba Mwenyezi Mungu wakati wengine tunachomwa kwa dhambi zetu magu awe kuni na moto uchochewe haswa.
Alifanyaje kwa LikwelileNikikumbuka ya Likwelile nachoka kabisa. Huyu jamaa alikuwa na roho ya ajabu sana. Roho mbaya na ya kishenzi.
Hakuna namna Katiba mpya haina mbadala. Wajitafakari tu.Maccm Mkuu yanajua Katiba mpya ndiyo KIAMA chao yanaruka huku na kule kujibaraguza ili kulikimbia TAKWA la Watanzania kutaka Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.
Huwezi kuzungumzia maendeleo ktk nchi isiyozingatia misingi ya utawala bora, uwajibikaji na Haki za watu.Nimevutiwa sana na hoja za mwanadiplomasia Membe.
Tulikuwa tunaswagwa kama ng'ombe.
Yaani wananchi wako wanapotea/kupotezwa, wanauwawa, wengine wanafyatuliwa risasi hadharani, lakini kiongozi wa nchi amekaa kimyaa.
Akisimama jukwaani ni barabara SGR, Nyerere Hydropower Dam, baasi.
Kuna memba mmoja hapa Jf aliwahi kunilalamikia kuwa namsema vibaya mwendazake, kwamba kila nikiandika naongelea hoja zile zile, haki za binadamu utawala wa sheria, demokrasia nk.
Majibu ndiyo hayo sasa.
Binadamu ni tofauti na ng'ombe wako uliowaacha zizini.
Ukiwa kiongozi, cha kwanza ni lazima uheshimu haki za hao unawaongoza.
Wananchi wako wanatekwa, kuteswa, kupotea, kufyatuliwa risasi hadharani kiongozi huonyeshi hata kuguswa!![emoji849][emoji849]
Watanzania tusikubali kurudia huu uzumbukuku
Dr Shija hata kwao Nyampande hajafanya lolote. Usitegemee afanye makubwa kwa nchiHivi wewe unadhani membe ndo anngekuwa katibu mkuu wa kwanza kutoka Tanzania? Alikuwepo Dr Wiliam Shija alikuwa katibu mkuu jumuia ya madola! Tulipata nini? Usijidanyanye na watu wa maneno mengi bila uzalendo ni bure mtabakia kulialia sheria na katiba mpya huku mkitaka kugawana madaraka lakini hamna dhamira ya kujenga taifa! Mmejaa unafiki!
Kama haya ni kweli basi jamani kuna shida kubwa kuliko tulivyohisiKama umemsoma vizuri Membe hapo juu kwenye mazungumzo yake akiwa yeye na Kikwete wakimhoji Bill Clinton kuhusu nafasi ya Hillary kushinda uchaguzi wa Marekani last time...
Anakiri wazi Clinton alimwambia Kikwete kwamba Hillary hawezi kushinda kwasababu wahafidhina walidhani wakati ule wakimchagua Hillary awe Rais wa Marekani, basi angeongoza nchi kwa namna aliyoongoza Clinton himself.
Membe anaendelea kusema; "Clinton akamwambia Kikwete hakuna Rais anaeingia madarakani akaongoza kama mtangulizi wake, kwani kila Rais hukutana na changamoto zake na huzitatua kivyake".
Lakini la ajabu kwenye haya mahojiano yake anamlaumu Magufuli kwa kufuata mawazo yake kwenye kutawala, huku akijificha kwenye kivuli cha "maslahi ya nchi".
Kumbe alitaka Magufuli awabebe, awape vyeo huko CCM na serikalini, lakini kwasababu Magufuli hakufanya hivyo, ndio hasira za Membe zikalipuka, naona bora aache kulia lia, kwani ameshakiri mwenyewe kila Rais hutawala kwa namna yake na hukutana na changamoto zake.
Wewe kwanini unapenda sana kuhusudu watu wenye roho mbaya na makatili?[emoji848]Hahahahahah jamaa alimpiga pini membe ikamuuma kichizi kama konzi la kende!
Lakini bado ni maskini wa kutubwaJamaa yenu ni kati ya Marais wenye roho mbaya kutokea na kutoweka haraka duniani!! Mungu anatupenda sana watanzania!!
Kwanini hakwenda kwa Magufuli badala yake anatumia kinana? Hapo ujue alikuwa hapatani na hakufanya jitihada zozote ili apatane nayeKwa hilo la kumzibia membe asee kweli jpm hakuwa fair. Lkn huyu membe mnafiki sana kwanini usubiri mpaka mtu amekufa ndio useme jambo kama hili?
Si angesema tu kipindi kile kile watu wajue ubaya wa jpm. Sasahivi ndio anajifanya kuanika mabaya aliyofanyiwa, Bogus kabisa HUYU Jamaa.
Wanasiasa wa upinzani wengine wanapambana na kesi ya ugaidi wengine bado wako nje ya nchi pamoja na kwamba ni miezi zaidi 7 tangu Magufuli afariki. Sasa sijui bado anahangaika nao akiwa kaburini
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app