Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Saioni kwann umnyime mtanzania mwenzako nafasi sababu unaona atakuwa fisadi. Mupe kisha kaa nae chini mueleze unalotegemea kutoka kwake.
Ni sawa na mtoto wako kafaulu ila unagoma kumlipia ada kwamba unahisi atavuta bangi huko shule halafu nafasi yake unampa mtoto wa jirani.
Hapa, pamoja na madoa ya membe ila raisi wetu hakuwa sawa.
Eti Membe shushushu mbobezi kwa mujibu wa JF na Tanzania.
Ngoja niwaambie afisa usalama wa juu nchi za wenzetu, they are based on ‘Plato Republic’ Philosophy.
Ndio wanaoshikilia top civil services post makatibu wakuu, wakuregenzi wa wizara, P.A wa mawaziri, viongozi wa taasisi nyeti za serikali kama vile uhamaiji and other sensitive institutions.
Na hao watu awaokotwi tu, wengi wao wanaanza kuwa recruited soon as they finish university with top grades halafu wanaanza kuwajenga uwezo wenyewe.
Sasa hadi ufikue kuwa top senior civil servants lazima uridhishe uwezo wako zaidi maana recruits wenye uwezo kutoka uni mko wengi.
Ukiwaridhisha kupitia mchakato wao wa performance appraisal kwa nafasi unazopewa serikalini ndio unapanda mpaka juu.
Na ukifika juu unapokea mshahara mkubwa kuliko raisi wa nchi na mawaziri (senior civil servant anachozidiwa na viongozi wa nchi labda ni marupurupu tu).
Kwanini wanalipwa ivyo waache tamaa na nafasi zao mara nyingi ni permanent ili wasiwe na uoga kwenye kutetea maslahi ya taifa kwa serikali yeyote itakayo ingia madarakani.
Ili amuue?Membe alipaswa ayaseme haya Magu akiwa hai
Na hizo ndizo zinaharibu nia njema ya awamu ya 6.Binafsi bado naamini magu kaacha chembechembe zake kwenye mfumo tena zakutosha.
Mkuu common wealthy sio bongo hela haipigwi kirahisi hivo hiyo $7nb Membe ange lobby sana ili miradi mingi ingekuja Tz na watanzania wange pata huduma na ajira.....ila uogopa mtu mwenye roho mbaya JPM deserved death though every body will taste death.Membe interest yake ilikuwa apige hizo paundi billion 7 sio kwamba alikuwa na msaada sana na Tanzania.
Hizi ndizo akili za wanasiasa wa bongo na Magu alijua akimpa mwanya wa hizo hela angemletea ugumu kutawala sababu amekuwa mpinzani toka jina lake lilipokatwa.
Hahahahahah jamaa alimpiga pini membe ikamuuma kichizi kama konzi la kende!Mkuu common wealthy sio bongo hela haipigwi kirahisi hivo hiyo $7nb Membe ange lobby sana ili miradi mingi ingekuja Tz na watanzania wange pata huduma na ajira.....ila uogopa mtu mwenye roho mbaya JPM deserved death though every body will taste death.
Membe ni mnafiki!..Kikubwa Membe kasema ukweli moyo wake upate amani.
Lakini sijui kwanini hayo yote yalitokea, anyway Mungu anajua
Una akili timamu?Membe alipaswa ayaseme haya Magu akiwa hai
Asante Mungu,limekufa na roho yake mbaya. Warundi ni watu wa hovyo sana.Membe anasema hajui hasa kisa za Magufuli kumfitini, lakini anadhani chanzo ni roho aliyokuwa nayo kiongozi huyo. Rais Magufuli, alifariki dunia Machi 17, mwaka huu.
Hayati Seif alimuuliza mbona picha za mfuriko kwenye kampeni unazidiwa hata na mzee wa ubwabwa?Jamaa anaongeaga pumba sana yani zamani alikuwa na heshima flani hivi enzi za Jakaya ila toka ametikiswa na Magufuli basi amekuwa kama mtoto aliyenyimwa pipi [emoji1][emoji1][emoji1]!
Ana makasiriko sana na anaropoka upuuzi tu kiasi kwamba credibility yote imepotea.
Sura ya marehemu na roho yake vilifanana.
Yawezekana alikuwa siyo mtanzania,
Hahahahha ndio hapo sasaHayati Seif alimuuliza mbona picha za mfuriko kwenye kampeni unazidiwa hata na mzee wa ubwabwa?
Membe kama anajipa umaarufu huo mbona hatukona alipopata nafasi ya kugombea urais?
Kasheshe kuna maeneo sensitive ya usalama kwa nchi za wenzetu halafu wao wanavyo yachukulia poa unaona hawa jamaa hawapo serious but then we are not a threat or priority kwa vitu wanavyovitaka mabeberu. Vinginevyo kutupigisha magoti ni dakika moja if they want to choke our economy.Sasa mkuu hawa wenzetu [emoji115][emoji115][emoji115] ndio wanajielewa. Yaani kama na sisi huku mtu anaeitwa "mbobevu" ni membe utajiuliza wengine sijui ndio watakuwaje Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Lisu juzi kule kwa maria space aliita watu wapumbavu kwa kujisahaulisha kwamba jk aliua watu hadi kwa mabomu pale arusha kwwnye mkutano wa chadema na yule mwandishi wa chanel ten pamoja na ulimboka hawakuwa kipindi cha MaguConfirmed, Kachero mbobezi confirmed kabisa ndugu zetu waliuliwa! This is very serious! Naomba maelezo haya yachunguzwe
Ila haikua freshi watanzania wengi walikosa fursa kwa kuzuia Membe, huyu jama wako alikua kama shataniHahahahahah jamaa alimpiga pini membe ikamuuma kichizi kama konzi la kende!