Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Saioni kwann umnyime mtanzania mwenzako nafasi sababu unaona atakuwa fisadi. Mupe kisha kaa nae chini mueleze unalotegemea kutoka kwake.

Ni sawa na mtoto wako kafaulu ila unagoma kumlipia ada kwamba unahisi atavuta bangi huko shule halafu nafasi yake unampa mtoto wa jirani.

Hapa, pamoja na madoa ya membe ila raisi wetu hakuwa sawa.

Mjoba, hapa tunazungumzia maslahi mapana ya nchi. Ili upate nafasi Kama hio kunamambo mengi yanakua considered na hao waasis wa umoja huo,

Kwa ninavo mfaham marehemu, ni dhahiri Membe alifanya lobbying at the Expense ya maslahi ya taifa na ndo maana akaamua amppige chini.
 
Eti Membe shushushu mbobezi kwa mujibu wa JF na Tanzania.

Ngoja niwaambie afisa usalama wa juu nchi za wenzetu, they are based on ‘Plato Republic’ Philosophy.

Ndio wanaoshikilia top civil services post makatibu wakuu, wakuregenzi wa wizara, P.A wa mawaziri, viongozi wa taasisi nyeti za serikali kama vile uhamaiji and other sensitive institutions.

Na hao watu awaokotwi tu, wengi wao wanaanza kuwa recruited soon as they finish university with top grades halafu wanaanza kuwajenga uwezo wenyewe.

Sasa hadi ufikue kuwa top senior civil servants lazima uridhishe uwezo wako zaidi maana recruits wenye uwezo kutoka uni mko wengi.

Ukiwaridhisha kupitia mchakato wao wa performance appraisal kwa nafasi unazopewa serikalini ndio unapanda mpaka juu.

Na ukifika juu unapokea mshahara mkubwa kuliko raisi wa nchi na mawaziri (senior civil servant anachozidiwa na viongozi wa nchi labda ni marupurupu tu).

Kwanini wanalipwa ivyo waache tamaa na nafasi zao mara nyingi ni permanent ili wasiwe na uoga kwenye kutetea maslahi ya taifa kwa serikali yeyote itakayo ingia madarakani.


Sasa mkuu hawa wenzetu [emoji115][emoji115][emoji115] ndio wanajielewa. Yaani kama na sisi huku mtu anaeitwa "mbobevu" ni membe utajiuliza wengine sijui ndio watakuwaje Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmekuwa na kazi ngumu ya kuifuta legacy yake, jamaa nae anapambana na nyinyi mpaka huko kuzimu. Nyuzi kumhusu yeye zimekuwa nyingi sana humu. Kuna yule mwingine hata kutulia kwenye nyumba yake nyeupe kashindwa, tambiko halijamsaidia, hapaeleweki ni mtafaruko kiasi cha kutamani safari kila siku ili angalau awe nje ya ule mjengo.

Mnaweza kuongea yoote ila kuzifuta alama zake zilipo katika mioyo ya watanzania wa hali ya chini (ambao ndo wengi zaidi) itakuwa kazi sana,ni swala lisilowezekana.

NAJUA KUNA VIJANA WA WENGI WALIOCHOSHWA NA MAISHA, MAFUKARA, WAPUMBAVU NA WASIO NA CHOCHOTE WATAKUJA KUTUKANA HAPA. KARIBUNI.
 
Membe interest yake ilikuwa apige hizo paundi billion 7 sio kwamba alikuwa na msaada sana na Tanzania.

Hizi ndizo akili za wanasiasa wa bongo na Magu alijua akimpa mwanya wa hizo hela angemletea ugumu kutawala sababu amekuwa mpinzani toka jina lake lilipokatwa.
Mkuu common wealthy sio bongo hela haipigwi kirahisi hivo hiyo $7nb Membe ange lobby sana ili miradi mingi ingekuja Tz na watanzania wange pata huduma na ajira.....ila uogopa mtu mwenye roho mbaya JPM deserved death though every body will taste death.
 
Mkuu common wealthy sio bongo hela haipigwi kirahisi hivo hiyo $7nb Membe ange lobby sana ili miradi mingi ingekuja Tz na watanzania wange pata huduma na ajira.....ila uogopa mtu mwenye roho mbaya JPM deserved death though every body will taste death.
Hahahahahah jamaa alimpiga pini membe ikamuuma kichizi kama konzi la kende!
 
Kikubwa Membe kasema ukweli moyo wake upate amani.

Lakini sijui kwanini hayo yote yalitokea, anyway Mungu anajua
Membe ni mnafiki!..

Nmeona amezungumzia pia watu kuuawa! Kanakwamba enzi zao yeye na JK hawakuuwa watu!

Namkumbusha tu kwamba tu kwamba wao walitumia hadi mabomu lililouwa watu kadhaa kwenye mkutano wa chadema pale Arusha, Daud Mwangosi alisambaratishwa na bomu ke iringa ule ulikuwa utawala wake yeye na swahiba wake jk,
Yule dr Ulimboka haikuwa kazi ya JPM bali ya swahiba wake jk na hakuwahi kupanua mdomo kuongea.
 
Membe upo sahihi,Rais wa miundombinu alkuwa,na watu walipotea na kupigwa risasi hadharan na kuwambia polisi hakuna kuchunguza
 
membe una sema mama samia hawezi kumuiga makufuli maana mama samia ana changa moto zake ambazo ni lazima ziende kwa uwiano wa kipekee na mazingira yake sawa hatukatai basi na makufuli usimlaumu na yeye hawezi kufanana na kikwete au mkapa kwa sababu makufuli nae ana changa moto zake ambazo ni lazima ziende kwa uwiano wa kipekee na mazingira yake aliyokutana nayo ndio maaana alijikita kwenye miundombinu bila miundombinu hakuna maisha
 
Membe anasema hajui hasa kisa za Magufuli kumfitini, lakini anadhani chanzo ni roho aliyokuwa nayo kiongozi huyo. Rais Magufuli, alifariki dunia Machi 17, mwaka huu.
Asante Mungu,limekufa na roho yake mbaya. Warundi ni watu wa hovyo sana.
 
Jamaa anaongeaga pumba sana yani zamani alikuwa na heshima flani hivi enzi za Jakaya ila toka ametikiswa na Magufuli basi amekuwa kama mtoto aliyenyimwa pipi [emoji1][emoji1][emoji1]!

Ana makasiriko sana na anaropoka upuuzi tu kiasi kwamba credibility yote imepotea.
Hayati Seif alimuuliza mbona picha za mfuriko kwenye kampeni unazidiwa hata na mzee wa ubwabwa?

Membe kama anajipa umaarufu huo mbona hatukona alipopata nafasi ya kugombea urais?
 
Hayati Seif alimuuliza mbona picha za mfuriko kwenye kampeni unazidiwa hata na mzee wa ubwabwa?

Membe kama anajipa umaarufu huo mbona hatukona alipopata nafasi ya kugombea urais?
Hahahahha ndio hapo sasa
 
Sasa mkuu hawa wenzetu [emoji115][emoji115][emoji115] ndio wanajielewa. Yaani kama na sisi huku mtu anaeitwa "mbobevu" ni membe utajiuliza wengine sijui ndio watakuwaje Sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kasheshe kuna maeneo sensitive ya usalama kwa nchi za wenzetu halafu wao wanavyo yachukulia poa unaona hawa jamaa hawapo serious but then we are not a threat or priority kwa vitu wanavyovitaka mabeberu. Vinginevyo kutupigisha magoti ni dakika moja if they want to choke our economy.

Kuna vitu wanavihitaji tunavyo, ila kuna nchi wana vitu ivyo ivyo kwa wingi zaidi, mzungu apendi bahati nasibu kwenye access ya resources vyetu ni long term plans ila sio immediate concern ya kuangaika navyo vileee.

Kuna vitu inabidi uangalie tu, hila wajue nchi za wenzetu senior servant hadi ushike hiyo nafasi uwezo wako auna mashaka. Ndio maana wengi wao wakistaafu wana kwenda kuwa NED’s kwenye boards za conglomerates organisations.

Eti Membe top spy, sema Membe has the exposure ya National security ndani ya Tanzania. With that he has some knowledge on how our security functions.

Lakini kwakuwa hizo nafasi ni based on meritocracy zinataka uwezo kushinda blah blah, kwa kumsikiliza Membe hana ata uwezo wa kufanya simple national security analysis.
 
Confirmed, Kachero mbobezi confirmed kabisa ndugu zetu waliuliwa! This is very serious! Naomba maelezo haya yachunguzwe
Lisu juzi kule kwa maria space aliita watu wapumbavu kwa kujisahaulisha kwamba jk aliua watu hadi kwa mabomu pale arusha kwwnye mkutano wa chadema na yule mwandishi wa chanel ten pamoja na ulimboka hawakuwa kipindi cha Magu
 
Back
Top Bottom