Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola


CCM wameamua kulana nyama wao kwa wao hii safi sana
 
Waliomchagua waliangalia maslahi mapana ya nani?
 
Eti Membe shushushu mbobezi kwa mujibu wa JF na Tanzania.

Ngoja niwaambie afisa usalama wa juu nchi za wenzetu, they are based on ‘Plato Republic’ Philosophy.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana machadema huwa yanadanganywa sana!

2015 yalisema Lowasa lazima ashinde maana anajua michezo yote na ana watu wengi kwenye system.

2020 nae Membe tukaambiwa na ACT kwamba huyu ni kachero kule kwenye system ndio nyumbani kwake! Matokeo yake alizidiwa hadi na mzee wa ubwabwa.
 

Tunaposema magu alikuwa raisi wa hovyo muwe mnaelewa
 
Mnavyozidi tu Kumsakama Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli kila Siku baada ya Kifo chake kwa Kumzungumzia vibaya wakati alipokuwa Hai mlishindwa kufanya hivyo Wenye Akili na Wacha Mungu wa Ukweli tunagundua kuwa alikuwa ni Rais Mzuri, Makini, Mchapakazi na Kiboko cha Wanafiki, Mafisadi, Wezi na Makatili kama wanaojitokeza sasa na watakaoendelea Kujitokeza huko mbeleni.

Cc: BAK
 
Haya alitakiwa ayaseme Magufuli akiwa hai,kwani hakuna sehemu kavunja Sheria.
Kinachonishangaza unafiki na kujipendekeza ,hakika anajidharaulisha, matendo yao yanajulikana wazi ,ni majizi ,matapeli, mafisadi,ambao mwendazake aliwatia adabuw haswa

Aliwafungulia mashtaka [emoji848] kama hakuwafungulia basi na yeye alikuwa mwizi tu
 
Hahahahahah jamaa alimpiga pini membe ikamuuma kichizi kama konzi la kende!
Huko kuna ulaji kuliko mshahara wa rais wetu.....kwahiyo lazima mtu akuchukie...aloo usipo jua chanzo cha watu kugombana huwezi kuamua nani mwenyemakosa...ila naamini hiyo nafasi ilikuwa muhimu kwa taifa pia hata kama angelikuwa membe ndiyo angetuwakilisha....yawezekana mzee marehemu hakushauriwa vizuri na watu wa karibu

Kwa mfano...kijazi alikuwa mwenyekiti wa mabalozi wote walioko nje...na alikuwa india magufuli alimleta akiamini anajua vitu vingi vya nje atamsaidia kumshauri.....kama angejua umuhimu wa hiyo nafasi kwenye jumuiya ya madola lazima angemuacha membe tu.....sema membe angemwambia mshkaji mapema kwamba kuna hicho kiti kinakuja....ajipendekeze tu..magu akiona unamtii anakufurahia
 
Hili ni kundi na wewe ni kundi jingine huu nimchuano wa kundi jipya la mwendazake na la zamani. Tusubiri tuone sisi yetu macho.
 

Kwani membe chamagani?
 
Membe kilichomkost ni kujifanya jeuri! Magufuli ukijipendekeza anakuzingatia angempa shavu tu tatizo jeuri
 
Membe ni mwizi tu!

Alipokuwa waziri wa mambo ya nje alitufanyia kitu gani cha maana?
 

Asante mkuu kumbe na wewe unajua kuwa CCM ni wauwaji
 
Lakini kwakuwa hizo nafasi ni based on meritocracy zinataka uwezo kushinda blah blah, kwa kumsikiliza Membe hana ata uwezo wa kufanya simple national security analysis.
Hii haya imebeba ujumbe mzito sana. Mungu atusaidie na kutulinda. Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…