Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

Ndio maana lisu aliwaita nyie ni wapumbavu!

Nani alifungwa kwa mauji ya mwangosi, mateso ya ulimboka, na lile bomu lililoua watu kule arusha?
1636098368941.jpeg
mtalipa tu, huo ni mwili wa Mtanzania mwenzetu, mwenye ndugu na familia kama wewe mbwa, unajitapa kabisa kuwa mlimuuwa...na kwamba hakuna aliyefungwa....Kama tuakosa haki hapa dunini basi kuna siku hata vizazi vyenu vitalipa, umenikumbusha mbali na umeniumiza sana sana, wallah nakaupia mtalipa kw akila tone la damu lilidondoka, mbwa nyie, nimetukana matusi yote wallah. Crimea nakusihi kuwa na utu, kuna siasa na kuna utu, usikubali siasa zikufanye ukose utu. waambie na hao mbwa wenzako
 
Mimi nmemzunguzia Membe kipenzi chako juu ya mauji kwenye mkutano wa chadema Arusha, Mwangosi Iringa, dr Ulimboka mabwepande nk
mimi na membe wapi na wapi? Soma maandiko yangu tangu nimejiunga hapa kama kuna sehemu nimewahi kumkubali,
 
Membe interest yake ilikuwa apige hizo paundi billion 7 sio kwamba alikuwa na msaada sana na Tanzania.

Hizi ndizo akili za wanasiasa wa bongo na Magu alijua akimpa mwanya wa hizo hela angemletea ugumu kutawala sababu amekuwa mpinzani toka jina lake lilipokatwa.
Hata mimi kama hizo pesa zinatolewa napewa mimi kiutaratibu kabisa zinakuwa chini yangu nazipiga vizuri sana.

Kama binadamu lazima uumie aisee
 
View attachment 1999178mtalipa tu, huo ni mwili wa Mtanzania mwenzetu, mwenye ndugu na familia kama wewe mbwa, unajitapa kabisa kuwa mlimuuwa...na kwamba hakuna aliyefungwa....Kama tuakosa haki hapa dunini basi kuna siku hata vizazi vyenu vitalipa, umenikumbusha mbali na umeniumiza sana sana, wallah nakaupia mtalipa kw akila tone la damu lilidondoka, mbwa nyie, nimetukana matusi yote wallah. Crimea nakusihi kuwa na utu, kuna siasa na kuna utu, usikubali siasa zikufanye ukose utu. waambie na hao mbwa wenzako
Manka usipanic wala usinipudandishie mimi mashetani yako hapa!

Mwambie Membe na JK huu ujumbe wako, maana ndio vipenzi vyenu hao
 
Manka usipanic sasa!
Hahahaha Crimea Mimi Ni Kidume tena nazeeka sasa, umri wangu huenda ukawa mkubwa sana kwako, anyway, siwezi kupaniki ila nimekukumbusha tu kuw akuna maisha baada ya siasa, usikose utu. Tubishane bila kugusa hisia hasa za watu ambao vifo vyao vinaumiza, tena unataja kwa kujitapa.
 
Mimi naona Membe anatapatapa tu! Alikuwa wapi kusema haya yote! Anataka kujifanya kana kwamba hakutaka urais 2015? Na kuhusu kusaidia nchi jirani kama Msumbiji na Sahara magharibi ni muhimu ila pia ikumbukwe huu ujinga wakujifanya kutoa misaada kwa nchi za jirani kijeshi hazijawahi kutusaidia popote ndo maana hata leo A/Kusini watanzania wanapata matatizo licha ya ku8saidia nchi hiyo!


Pia unanipa kuamini kuwa Vicky Makamatana mme wake Likwelkle Kinana na wewe mnaajenda yenu ya kujinasua kwa watanzania lakini mlipaswa kulifanya hilk kipindi mhusika yupo! Kwa upande mwingine umesema Maguguli mi Rais wa miundo mbinu sawa! Ila ukumbuke Marais wa Maneno mengi tushawaona na hakuna la maana walilofanya hata huyu bibi naye ni wale wale!
Sasa si ungetusaidia kujua ni kwa nini JPM alikataa Membe kuwa katibu mkuu wa jumuia? Yaani akaona bora kiti kiende nchi nyingine? Why alifanya hivi??
 
Manka usipanic wala usinipudandishie mimi mashetani yako hapa!

Mwambie Membe na JK huu ujumbe wako, maana ndio vipenzi vyenu hao
Hahahhaa wewe unipanikishe MIMI? aagh wapi, jenga hoja twende kwa hoja, JK na Membe ndio unawakataa sasa hivi? kweli wewe ni shetani, CCM hamnaga akili kabisa
 
Na JPM alikuwa ahead of them in thinking

Wenyewe hawakuwa na haja na JPM. Kitu ambacho wanahangaika nacho mpaka sasa kukiua ni yale MAWAZO YAKE. Yaani ikitokea Afrika yote ikawa na mawazo ya aina ile. Ukombozi lazima ungepatikana tu.
 
Anasema tatizo la siasa ni moja tu, hata ukiwa na mazuri 99 na ukaharibu jambo moja, ukaua mtu mmoja, au ukaua mwandishi wa habari mmoja au wawili au ukafanya jambo moja la ovyo au lolote lile baya au doa moja tu linakuharibia.
(Watu wasiojulikana team ya Kingai ) JAMBAZI Sabaya, Maliyamungu Bashite .
Wameteka, wametesa, wamepiga watu risasi na wameua watu sana.
Magufuli alikua Mwendawazimu, mwenye roho ya uharibifu.
 
Hawa wazee akina membe, Jakaya na msoga band nzima sasa inabidi wakae watulie.

Kila siku wao tu hawang'atuki miaka nenda rudi!! Kutwa vidomo domo na kujichomeka kwenye serikali.

Inabidi chama kiwafukuze au wastaafu kwa lazima.

Kaaah!!
 
Unaonaje kama Lowassa angekuwa rais 2015 huyo membe angepata ukatibu mkuu wa MADOLA? Nasema hivo kwa sabubu membe kipindi Magu anaingia alikuwa na maadui wengi huwezi jua hata Magufuli alishawishiwa na Lowasa team akamkatalia! Ila kwa ujumla Membe uwezo wakeni mdogo atulieamalizie pensheni!
Kwa hiyo wewe ukishawishiwa kwamba jirani yako ni mwizi wewe unaamini tuu bila ya kujiridhisha? Tena wewe ni rais na una vyombo vyote vya uchunguzi?? Tukubaliane tuu hiyo ilikuwa roho mbaya sana, yaani uko tayari kiti kiende nchi nyingine kisa tuu roho mbaya?? Hivi Nyerere angekuwa hivyo akina Salim Ahmed Salim wangefikia kule walikofikia??
 
Wenyewe hawakuwa na haja na JPM. Kitu ambacho wanahangaika nacho mpaka sasa kukiua ni yale MAWAZO YAKE. Yaani ikitokea Afrika yote ikawa na mawazo ya aina ile. Ukombozi lazima ungepatikana tu.

Mkuu Inchi Haiendeshwi Kwa Mawazo Ya Mtu Mmoja Uraisi ni Taasisi Na Sio Mtu,
 
Wenyewe hawakuwa na haja na JPM. Kitu ambacho wanahangaika nacho mpaka sasa kukiua ni yale MAWAZO YAKE. Yaani ikitokea Afrika yote ikawa na mawazo ya aina ile. Ukombozi lazima ungepatikana tu.
Ndio maana wanamuita majina yote
 
Back
Top Bottom