Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
lowasa aliwekeza kwenye vikao vya chama, wananchi walihitaji mabadiliko ndio maana wakamuunha mkono, usifikiri wale milioni sita ndio alihama nao CCMMazingira ya 2015 na ya leo hii 2020 ni tofauti sana.Umati wa watu aliokuja nao Lowasa ni kazi ya mtandao alioujenga kwa miaka kumi, jee Membe amewekeza nini katika miaka hii mitano?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Membe ni Lowassa asie na Mvi
Unataka awe nani msigwa auLissu na Membe wote hamna kitu. Tuache kujidanganya na kujifariji.
Huyo Msigwa bure kabisa ni bendera fuata upepo. Anatania Urais, yeye mwenyewe anajua kwamba hayupo SeriousUnataka awe nani msigwa au
Na nyalanduHuyo Msigwa bure kabisa ni bendera fuata upepo. Anatania Urais, yeye mwenyewe anajua kwamba hayupo Serious
Unaichukia CCM lakini mwana CCM akihamia chadema mnamsimamisha awe Rais wenu.Naichukia CCM, lakini nakosa nguvu ya kuwachukia warembo wao
Ni kweli sikumpigia kura kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Lkn nilimpa full support na bado namsupport. This time sipigi kura maana najua atapita tu. 2025 jitahidini msimamishe mgombea atakae eleweka.pombe mwenyewe hujawahi kumpigia kura,upinzani utakuja kuharibu kura tu
100% True!Doing the same thing over and over again and expecting different results
That is insanity
Thank you Albert Einstein
ni nani unamshabikia na hana chama au unajidanganyaNi kweli sikumpigia kura kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Lkn nilimpa full support na bado namsupport. This time sipigi kura maana najua atapita tu. 2025 jitahidini msimamishe mgombea atakae eleweka.
Nashabikia mtu binafsi zaidi kuliko kushabikia chama.
Kwani wapinzani hawana wa kuwavisha mpaka wasubiri rejects za CCM?Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Unaichukia CCM lakini mwana CCM akihamia chadema mnamsimamisha awe Rais wenu.
Mnashangaza. Ukipenda maua penda na Boga lililosababisha maua yakawepo
Hahahaa.... "Membe ndo mgombea uraisi kupitia CCM, ni suala la muda tu", ni nukuu yako wiki chache zilizopita. Na nikakwambia watanzania mnaongoza duniani kwa kujipa matumaini feki. Leo naona umeshabadilika.Huo ukachero bobezi wake angeutumia tu kuhakikisha anakuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM ,huku sisi tumeenea.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.Hahahaa.... "Membe ndo mgombea uraisi kupitia CCM, ni suala la muda tu", ni nukuu yako wiki chache zilizopita. Na nikakwambia watanzania mnaongoza duniani kwa kujipa matumaini feki. Leo naona umeshabadilika.