Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Mazingira ya 2015 na ya leo hii 2020 ni tofauti sana.Umati wa watu aliokuja nao Lowasa ni kazi ya mtandao alioujenga kwa miaka kumi, jee Membe amewekeza nini katika miaka hii mitano?
lowasa aliwekeza kwenye vikao vya chama, wananchi walihitaji mabadiliko ndio maana wakamuunha mkono, usifikiri wale milioni sita ndio alihama nao CCM
 
Naichukia CCM, lakini nakosa nguvu ya kuwachukia warembo wao
Unaichukia CCM lakini mwana CCM akihamia chadema mnamsimamisha awe Rais wenu.
Mnashangaza. Ukipenda maua penda na Boga lililosababisha maua yakawepo
 
pombe mwenyewe hujawahi kumpigia kura,upinzani utakuja kuharibu kura tu
Ni kweli sikumpigia kura kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Lkn nilimpa full support na bado namsupport. This time sipigi kura maana najua atapita tu. 2025 jitahidini msimamishe mgombea atakae eleweka.
Nashabikia mtu binafsi zaidi kuliko kushabikia chama.
 
Membe asiwadanganye
Lissu ni bora kuliko Membe
Upinzani huwa mnaanza kama mzaha mwisho mnfanya kweli nyie haya tu!
 
Membe, lissu, vs mwamba(mbowe).

Ngoja tuone mda utaongea tuuu
 
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe

#2020upinzani na jasusi mbobezi#
[/QUOTE]
Kama mnampenda na mnamwona anatosha mpeni nafasi huko huko ccm
 
Ni kweli sikumpigia kura kwasababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Lkn nilimpa full support na bado namsupport. This time sipigi kura maana najua atapita tu. 2025 jitahidini msimamishe mgombea atakae eleweka.
Nashabikia mtu binafsi zaidi kuliko kushabikia chama.
ni nani unamshabikia na hana chama au unajidanganya
 
Nasikia membe ashawai kuwa Askari tena officer wa JWTZ alikuwa luteni wakati yupo shuleni TMA Arusha naskia alikuwa akitoroka sana usiku na kwenda kujivinjari na mademu kipindi icho kikwete alishakuwa camission alikuwa ni capten alikuwa akiwafundisha wakina Membe naskia kikwete kambeba sana Membe pale TMA bado kidogo tuu membe afukuzwe kwenye kozi ya uafisa mana alikuwa anatoroka mno vipindi..

Afu pia Membe alivyomaliza kozi yake ya uofisa akawa cammision akaekwa kwenye idara ya usalama wa taifa ivi ni kweli wakuu Membe alikuwa na yy kamanda wa TPDF mbn record zake azipo???
 
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.

Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.

Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.

Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.

Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe

#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Kwani wapinzani hawana wa kuwavisha mpaka wasubiri rejects za CCM?
 
Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu

Kama ana mbinu za kijasusi kwa nini asizitumie kugombea ccm?
 
Unaichukia CCM lakini mwana CCM akihamia chadema mnamsimamisha awe Rais wenu.
Mnashangaza. Ukipenda maua penda na Boga lililosababisha maua yakawepo

Hapana mimi sisapoti huo upuuzi
 
Huo ukachero bobezi wake angeutumia tu kuhakikisha anakuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM ,huku sisi tumeenea.
Hahahaa.... "Membe ndo mgombea uraisi kupitia CCM, ni suala la muda tu", ni nukuu yako wiki chache zilizopita. Na nikakwambia watanzania mnaongoza duniani kwa kujipa matumaini feki. Leo naona umeshabadilika.
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu alisha sema kuanzia sasa hadi October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe.
 
Back
Top Bottom