Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

Uchaguzi 2020 Membe anaweza kutuvusha upinzani kuliko Lissu

huyu Membe na yeye ni wale wale tu,
Upinzani tusipokuwa makini tunapigwa kama tulivyopigwa na yule mfugaji mwenye nywele nyeupe.
unataka kusema bila lowasa upinzani ungepata kura zaidi ya zile za lowassa? 6m, ubishi sio mtaji.
 
Sikio la kufa halisikii dawa.
makosa yaliotokea 2015 mnataka kuyarudia tena!!??

Case ya Membe ni tofauti na Lowasa

Lowasa ni corrupt, hata Chadema walimuweka kwenye list of shame

Membe ni mzalendo, msafi, hana kashfa yoyote mbaya ya ufisadi.

Kama Nyalandu aliyetoka CCM anautaka uraisi kupitia Chadema kwa nini iwe nongwa Membe kuutaka uraisi kupitia ACT?
 
Hakuna utofauti so long wale wote ni CCM lengo ni mojaa
 
Membe ana uwezo wa kuendana na matakwa yote ya upinzani, ni msikivu na ana busara
Naona hamuwajui watu wa CCM Ndee wa rangi moja tu hao katafute Clio za membe akiwa waziri bungeni uone kama anafaa nafasi hiyo NAKUPA CASE MOJA TU. ALIVYOHANDLE. ISHU YA ZIWA NYASA YEYE NA Lowasa. Hakuna cha diplomas is pale
 
Kunitukana hakukusaidii chochote, kama humpendi Membe hama upinzani. Kwanza sio lazima wewe kuwa upinzani
#upinzani 2020 twende na membe jasusi mbobezi#
Kukuvusha kwenda wapi? Hizi zingine na ndoto mbaya ya mchana! Magu alitupa chibi Membe hata kabla hajakatwa mkia, Leo hii hata mkia Hana ndio unakuja na upuuzi huu! Magu yupo ligi yake peke yake kwa Sasa! Tanzania ina Magu peke yake kwa Sasa!
 
Ni kweli anaweza kuwavusha uko ccm sisi huku upinzani hatumuhitaji.

Kama kweli mnampenda mpeni nafasi huko CCM.

Mwaka huu upinzani ukipokea kapi ndio utakuwa umejizika rasmi.
Vumilieni tu sindano iingie,
Hata kwa lowasa mlisema hivyo, ila alipoingia mkasafisha kwa dodoki.
 
Naona hamuwajui watu wa CCM Ndee wa rangi moja tu hao katafute Clio za membe akiwa waziri bungeni uone kama anafaa nafasi hiyo NAKUPA CASE MOJA TU. ALIVYOHANDLE. ISHU YA ZIWA NYASA YEYE NA Lowasa. Hakuna cha diplomas is pale
Yani litakuwa kosa kubwa sana naona upinzani hawajajifunza
 
Tuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Ina maana CHADEMA bila Membe hakuna mwingine mwenye akili ya kuwa Rais? CCM Oyee
 
Hata Trump zamani alikuwa Democrat leo ni Republican
kubadili vyama siyo dhambi maana vyama siyo baba wala mama wa mtu

Tusichukulie mambo ya Lowasa tukasema na Membe atakuwa hivyo hivyo, Lowasa hajawahi kuwa clean. Membe hana kashfa yoyote iliyothibitishwa.

Lowasa ni muoga, Membe ni jasusi lisiloogopa kitu ndiyo maana limemkomalia Jiwe humohumo ndani ya CCM bila kumuogopa.

Membe anafaa
 
Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.

Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.

Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.

Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.

Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe

#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Hizo hoja atazijenga kwa wananchi au mabeberu?maana mwananchi wakawaida anaelewa hoja ni nini?na hizo hoja zinatusaidia nini.sisi tunamwamini aliyetyungiza uchumi wa kati.
 
Upinzani utaendelea kuwepo muda wote, Membe apokelewe au asipokelewe upinzani sio ishu ya msingi katika uhai wa upinzani.
Ni kweli anaweza kuwavusha uko ccm sisi huku upinzani hatumuhitaji.

Kama kweli mnampenda mpeni nafasi huko CCM.

Mwaka huu upinzani ukipokea kapi ndio utakuwa umejizika rasmi.
 
Back
Top Bottom