Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
unataka kusema bila lowasa upinzani ungepata kura zaidi ya zile za lowassa? 6m, ubishi sio mtaji.huyu Membe na yeye ni wale wale tu,
Upinzani tusipokuwa makini tunapigwa kama tulivyopigwa na yule mfugaji mwenye nywele nyeupe.
Sikio la kufa halisikii dawa.
makosa yaliotokea 2015 mnataka kuyarudia tena!!??
Hakuna ugonjwa wala nini Ule ulikuwa ni MPANGO WA CCM HATA SASA MEMBE KWENDA UPINZANI NI MPANGO WA CCM..lowasa alikuwa mgombea mgonjwa ndio maana alishindwa, chadema walikaribia kushika nchi.
Hakuna utofauti so long wale wote ni CCM lengo ni mojaaCase ya Membe ni tofauti na Lowasa
Lowasa ni corrupt, hata Chadema walimuweka kwenye list of shame
Membe ni mzalendo, msafi, hana kashfa yoyote mbaya ya ufisadi.
Kama Nyalandu aliyetoka CCM anautaka uraisi kupitia Chadema kwa nini iwe nongwa Membe kuutaka uraisi kupitia ACT?
Naona hamuwajui watu wa CCM Ndee wa rangi moja tu hao katafute Clio za membe akiwa waziri bungeni uone kama anafaa nafasi hiyo NAKUPA CASE MOJA TU. ALIVYOHANDLE. ISHU YA ZIWA NYASA YEYE NA Lowasa. Hakuna cha diplomas is paleMembe ana uwezo wa kuendana na matakwa yote ya upinzani, ni msikivu na ana busara
huwezi kumpata ambaye hajakuwA huko dogoHakuna utofauti so long wale wote ni CCM lengo ni mojaa
Kukuvusha kwenda wapi? Hizi zingine na ndoto mbaya ya mchana! Magu alitupa chibi Membe hata kabla hajakatwa mkia, Leo hii hata mkia Hana ndio unakuja na upuuzi huu! Magu yupo ligi yake peke yake kwa Sasa! Tanzania ina Magu peke yake kwa Sasa!Kunitukana hakukusaidii chochote, kama humpendi Membe hama upinzani. Kwanza sio lazima wewe kuwa upinzani
#upinzani 2020 twende na membe jasusi mbobezi#
Vumilieni tu sindano iingie,Ni kweli anaweza kuwavusha uko ccm sisi huku upinzani hatumuhitaji.
Kama kweli mnampenda mpeni nafasi huko CCM.
Mwaka huu upinzani ukipokea kapi ndio utakuwa umejizika rasmi.
Yani litakuwa kosa kubwa sana naona upinzani hawajajifunzaNaona hamuwajui watu wa CCM Ndee wa rangi moja tu hao katafute Clio za membe akiwa waziri bungeni uone kama anafaa nafasi hiyo NAKUPA CASE MOJA TU. ALIVYOHANDLE. ISHU YA ZIWA NYASA YEYE NA Lowasa. Hakuna cha diplomas is pale
Mbowe alikuwa huko?? Lissu Je???huwezi kumpata ambaye hajakuwA huko dogo
Ina maana CHADEMA bila Membe hakuna mwingine mwenye akili ya kuwa Rais? CCM OyeeTuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Hiyo turufu yake huko ccm hamjaionaTuliza akili bro, huyu jamaa ni jasusi na ana mbinu zote za kuwezesha upinzani kushinda uraisi mwaka huu. Ni karata turufu
Hizo hoja atazijenga kwa wananchi au mabeberu?maana mwananchi wakawaida anaelewa hoja ni nini?na hizo hoja zinatusaidia nini.sisi tunamwamini aliyetyungiza uchumi wa kati.Nimefuatilia na kumsikiliza kwa makini sana Mh. Membe (jasusi mbobezi) na nimekubaliana nae kuwa anaweza kuwa mtu sahihi sana kuliko wagombea wengine wa upinzani.
Membe ana uwezo wa kujenga hoja na ikakubalika hii ni kutokana na ujasusi wake hivyo ni faida kubwa sana kwa Upinzani
Membe ana utumishi uliotukuka ukilinganisha na wagombea wengine wa upinzani, hivyo kuna faida nyingi kuwa mgombea wetu wa upinzani.
Membe ni mwanadiplomasia nguli na anaweza kuirudisha Tanzania mahali ilipokuwa kimataifa.
Membe ni karata turufu sana kwa wakati huu kwa kuwa ameshajimbambanua kupambana na Magu, hivyo ameshajiandaa na urais.
Upinzani tumpe nafasi membe apeperushe bendera yetu kuliko kuwaachia wengine ambao sidhani kama wana ushawishi kama Membe
#2020upinzani na jasusi mbobezi#
Mbowe alikuwa huko?? Lissu Je???
kwani Membe ni chademaIna maana CHADEMA bila Membe hakuna mwingine mwenye akili ya kuwa Rais? CCM Oyee
Imekua ni jambo la kawaida kusikia kwamba Membe ana nguvu kubwa sana nyuma yake, hebu toeni ufafanuzi
Ndo mnayemtegemea aje kwenu ili mpate mgombea Uraiskwani Membe ni chadema
Ni kweli anaweza kuwavusha uko ccm sisi huku upinzani hatumuhitaji.
Kama kweli mnampenda mpeni nafasi huko CCM.
Mwaka huu upinzani ukipokea kapi ndio utakuwa umejizika rasmi.