johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
HIVI CCM WAMEPRINT FORM NGAPI?Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.
Source: Tanzania Daima
My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!
Maendeleo hayana vyama
Wewe jamaa..Leo ni siku ya wajinga au? Ebu check kichwa cha Habari yako..mbatizaji unandika kama mlevi wa gongo?
Ile mashine yao ina print form moja tu labda mwaka 2025 watakuwa wameirekebisha kiuwezo kuprint form zaidi ya mojaHIVI CCM WAMEPRINT FORM NGAPI?
Halafu jamaa alikua nayo kitamboo ile siku alishow-off tu😀😀😀😀Ile mashine yao ina print form moja tu labda mwka 2025 watakuwa wameirekebisha kiuwezo kuprint form zaidi ya moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Chondechonde wanaccm mtipisheni Jecha maana kasema bila hivyo anatoa siri za 2015Membe anayo nafasi kuchukua fomu kupitia ACT tuone nguvu yake!
Toa maelezo yanayojitosheleza mtu kuelewa habariMgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.
Source: Tanzania Daima
My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!
Maendeleo hayana vyama
Comrade jana umekunywa K.vant kavu-kavuMods naomba mrekebishe heading isomeke CCM!
Mods naomba mrekebishe heading isomeke CCM!
Huyu mpuuzi kweli kweli, yeye mwaka 2010 alikuwa mstari wa mbele kumshawishi Rostam amwambie Lowassa asichukue fomu amwachikie Kikwete amalize miaka 10. Leo anapigia debe mambo aliyoyapinga mwenyewe.Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.
Source: Tanzania Daima
My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!
Maendeleo hayana vyama
Huyo jamaa anajifanya kitu anajua ndio haraka hizoWewe jamaa..Leo ni siku ya wajinga au? Ebu check kichwa cha Habari yako..mbatizaji unandika kama mlevi wa gongo?
Mgombea urais wa CCM mwaka 2015 ambaye hakuingia 3 bora mh Benard Membe ameuponda utaratibu wa chama hicho wa kutoa fomu moja ya mgombea urais kwa uchaguzi mkuu 2020.
Source: Tanzania Daima
My take; Membe ameenda kuchukua fomu akanyimwa?!
Maendeleo hayana vyama