King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kama hizo mali hazitatosha kufidia deni kamata Musiba chomoa figo uza
Hakuna mali itakayouzwa wala hakuna mtu atakayefungwa-period!!Sheria inasema kama deni hajamaliza baada ya kuuza mali inatakiwa afungwe kwa gharama za Membe mpaka atakapomaliza deni.
Namsisitiza Membe baada ya kuuza mali zake amfunge mpaka ndugu zake wamalize deni ,hii itakuwa fundisho kwa waandishi wachumia Tumbo.
Musiba alimuona Msingwa mjinga alipomuomba radhi Kinana.Mnatapa tapa nyie
Kamsaidieni Mwenzenu huko si mlimuona shujaaa!!
Nadhani sasa wapuuzi wengine watajifunza[emoji28]
Hana dini, dini za kinafiki za niniHuyo Membe ni wa dini gani?
Wewe mbwa wa bosi mchangieni hela akalipeMembe ni failure anayetapatapa.
Aliwahadaa ACT wazalendo kwamba ataingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni za urais kwenye kijiji cha Rondo
Hakuna mali itakayouzwa wala hakuna mtu atakayefungwa-period!!
Kwani hata huko mahakamani alienda huyu kujitetea?Kwa nini haku appeal mpaka case ifike mahama za EAC, yaani yeye angeenda na mwendo wa ku apeal tu!
Sidhani kama hii case ilifika kwenye Mahakama ya Rufaa!
Well I’m just curious [emoji3166]
Wewe unazo?Membe pesa zote zimeishia kwenye campaign!
Uwiii
Mkuu kuhusu nini?Huyo Membe ni wa dini gani?
Mtarudi kuzimuYeye adinde tu, Tunachomwombea ni uzima na uhai.
Kwani siku zinaganda??.
Magufulinists ni lazima tutarudi tu Katika Uongozi, ni lazima !!.
Mbona hamkumwambia Magufuli asemehe wengine mkamuita shujaa?kiongozi asiyesamehe hafai kuongoza watu membe huyu huyu je angekuwa raisi ingekuwaje ! kipimo cha akili ni karma
Mkuu umenikumbusha, kuna chawa (mzungu)mmoja kule Uganda, enzi za Idd Amin Dadah alikuwa noma sana, yaani akikuchongea kwa Iddi Amin tu arobaini za kimefika. Lakini baada ya Nduli kutimuliwa na yeye hali yake ilikuwa mbaya sana maana mali zake zote ziliporwa maana zilikuwa ndani ya Uganda akabaki maskini wa kutupwa.Hapo Hakuhitaji Dini Ila Sheria Inasemaje, Uchawa Mwisho Wake Mbaya
Hata kama.Membe itakua kafulia anataka hela hakuna kingine hapo nimemshtukia.
Mkuu maelezo yako hayahusiani na hoja iliyo mbele yetu.Membe ni failure anayetapatapa.
Aliwahadaa ACT wazalendo kwamba ataingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni za urais kwenye kijiji cha Rondo
Sio yeye ni Mahakama ineamua.Kama alitegemea kutoboa kupitia hiyo njia Naona atakwama tu huyo musiba hana kitu.
Kufulia uzeeni kubaya sana kunamfanya mtu afanye mambo ya kumshushia hadhi kabisa.
Sasa kweli waziri wa mambo ya nje mstaafu ni mtu wa kungangania kuuza mali za Musiba??
Anajiabisha kuliko hata vile anavyodai kuaibishwa na musiba.
Hata mimi nashangaa . Bila Shaka kuna watu wanaugua zika mpaka kufikia kusahau alisoma nini na ameandika nini.Mkuu maelezo yako hayahusiani na hoja iliyo mbele yetu.