Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Ku-deal na mtu kariba ya Membe ujipange hasa. Huyu ni jasusi si wa kitoto. Ni diplomat maarufu sana huko duniani. Bila Membe Jakaya asingepata Urais na hata baada ya kupata Kuna baadhi ya viongozi duniani asingewafikia. Huyo ni mwandamizi wa Jesuits mbali na kuwa Mwalimu wa ukachero wa M16 ya Uingereza. Niishie hapo maana kwanza ujue Membe anawakilisha wangapi kwenye kesi hiyo?
Bado kudili nae mpka ujipange??? Mungu fundi aseee, oops WEMA HAWAFI, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu huyo ndio alitaka kuwa kiongozi wa nchi mwenye kinyongo cha kutu. Basi atakufa bila kusamehe na Mungu naye hatamsamehe kwa chochote hata kama akitubu kwa kutoa machozi ya damu.

Kuna sababu maalum Mungu amekusudia kwa Membe kuwa na kiburi cha umimi wa kibinadamu kwamba aabudiwe. Huyu inawezekana ndio alishiriki mchezo mchafu
Aseee we ni noma kweli Mungu fundi alooo
 
Niguse ninuke
Membe piga hilo lisukuma gang lirudi kijijini kuzibua mashimo ya vyoo
Analipigia makaburini sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]#Wemahawafi nani kanuka??? MZOGAaaa[emoji1476]
 
1683908293229.png
 
Analipigia makaburini sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]#Wemahawafi nani kanuka??? MZOGAaaa[emoji1476]
Haihusu, hakumdai ili asife na akifa deni halifi. Aliyekuwa anatumwa na katili atalipa tu.
Tunashekherekea maisha ya Mzee Membe, moja ya viongoz wema, hakumkatili mtu, katimiza wajibu wake muda umefika kasepa..hiyo kawaida na fresh sana tu.
 
Wakati hayo yakijiri hapa Mikocheni, tayari kampuni ya Yono imeshatua jijini Dodoma itakapoanzia kazi ya mnada kwa kuanza na apartments za Musiba zilizoko Ihumwa, nyumba yake ya Chamwino, guest house yake ya Msalato na shamba la hekari 10 njia ya Singida.

Baada ya hapo Yono atatimba apartment ya Kigamboni, shamba la hekari 5 Bagamoyo kabla ya kugeukia mitambo yake ya uchapaji iliyoko jengo la Exim ghorofa ya 8 jirani na Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es salaam.
Kwa hizo Mali anazomiliki musiba kumbe hakuwa mtu wa kawaida kama wengi tulivyodhani.musiba ni TISS Tena wa ngazi za juu.
 
Back
Top Bottom