Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Kutesa kwa zamu..
 
Huyo musiba wangemuua tu
 
Membe ni failure anayetapatapa.

Aliwahadaa ACT wazalendo kwamba ataingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni za urais kwenye kijiji cha Rondo

Umekuja na jambo jingine kabisaaaaa! Jikite kwenye mada!!
 
Kisheria ipoje ikitokea mdaiwa ambae ni musiba akafarik dunia kabla ya mali kupigwa mnada
 
Nilitaka kuandika ulichoandika!
Membe ashikilie hapo hapo.
Kabisa
Hizo mali zote ni za msiba tu peke ake?
Mkuu muulize dalali,
Mkuu P, wewe wajibu wako ni kimwombea tu msamaha, wewe kama wewe, haya mengine ya kuhusiana na maombi ya ya Wakuu wa Dini kukataliwa ama kukubaliwa maombi yao na kumtisha mkaza hukumu kuwa yatampata ya kumpata; kwa kweli haya pendezi.
 
Ukimwaga mboga tunaficha ugali kisha tunapika mboga nyingine
..acha musiba avune alichopanda na ni principle...kuna makosa tukiyafanya yanaathiri hadi familia na vizazi vyetu kwahiyo hata familia yake acha tu waumizwe kwa matendo ya ndungu yao...na hawa viongozi wa dini wanafiki sana walishiriki kwa kiasi gani kumzuia musiba kutukana watu.?
 
Maana hao viongozi kama wanaweza kutoa laana basi atakayepata laana hiyo ni Mahakama.
 
MAGUFULI AMEONDOKA ILA AMEACHA NYUMA YAKE SOMO KWA WALIO BAKI, UMUHIMU WA KUJIFUNZA KUISHI NA WATU VZR PASIPO KUMTUSI MTU YEYOTE.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Haya kaka pasi KALI
 
Mtu kashakwenda na maji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…