Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mkuu, Pascal Mayalla hebu dadavua kidogo hapo. JPM aliwadharauje maaskofu, mkuu? Weka hata codes za Javascript tutazielewa tu. 🙂Kuna kiongozi fulani aliwahi kuwadharau maaskofu, najua ni nini kilikuja kumtokea
mbona unamlisha maneno kasema JPM au kiongozi?Mkuu, Pascal Mayalla hebu dadavua kidogo hapo. JPM aliwadharauje maaskofu, mkuu? Weka hata codes za Javascript tutazielewa tu. 🙂
Si hapa Tanzania amekuwepo kiongozi mmoja tu, especially hivi karibuni? Wengine ni madalali tu.mbona unamlisha maneno kasema JPM au kiongozi?
Hapo vp?Matapeli chawa wa Magufuli hawana utumishi wa mungu na hakuna kitakachompata labda wakaroge
Matapeli chawa wa Magufuli hawana utumishi wa mungu na hakuna kitakachompata labda wakaroge
Go go goooo to makaburini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Membe alishachora mstari wake na musiba akaamua kuuvuka So kinachomkuta Sasa Ni matokeo ya alichokichagua.
Go membe go
Bado kudili nae mpka ujipange??? Mungu fundi aseee, oops WEMA HAWAFI, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ku-deal na mtu kariba ya Membe ujipange hasa. Huyu ni jasusi si wa kitoto. Ni diplomat maarufu sana huko duniani. Bila Membe Jakaya asingepata Urais na hata baada ya kupata Kuna baadhi ya viongozi duniani asingewafikia. Huyo ni mwandamizi wa Jesuits mbali na kuwa Mwalimu wa ukachero wa M16 ya Uingereza. Niishie hapo maana kwanza ujue Membe anawakilisha wangapi kwenye kesi hiyo?
Aseee we ni noma kweli Mungu fundi aloooHalafu huyo ndio alitaka kuwa kiongozi wa nchi mwenye kinyongo cha kutu. Basi atakufa bila kusamehe na Mungu naye hatamsamehe kwa chochote hata kama akitubu kwa kutoa machozi ya damu.
Kuna sababu maalum Mungu amekusudia kwa Membe kuwa na kiburi cha umimi wa kibinadamu kwamba aabudiwe. Huyu inawezekana ndio alishiriki mchezo mchafu
Kama Jiwe alienda hakuna cha ajabuGo go goooo to makaburini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Analipigia makaburini sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]#Wemahawafi nani kanuka??? MZOGAaaa[emoji1476]Niguse ninuke
Membe piga hilo lisukuma gang lirudi kijijini kuzibua mashimo ya vyoo
Mungu fundi naona kaamua kesi kiulainiii b 9 chaliiii[emoji2957][emoji1787][emoji2957][emoji1787][emoji1787]#WemahawafiHuyo musiba wangemuua tu
WEMA HAWAFI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1476]Kama Jiwe alienda hakuna cha ajabu
You can now ask same question in opposite wayKisheria ipoje ikitokea mdaiwa ambae ni musiba akafarik dunia kabla ya mali kupigwa mnada
Mchawi lughaYou can now ask same question in opposite way
Haihusu, hakumdai ili asife na akifa deni halifi. Aliyekuwa anatumwa na katili atalipa tu.Analipigia makaburini sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]#Wemahawafi nani kanuka??? MZOGAaaa[emoji1476]
Kwa hizo Mali anazomiliki musiba kumbe hakuwa mtu wa kawaida kama wengi tulivyodhani.musiba ni TISS Tena wa ngazi za juu.Wakati hayo yakijiri hapa Mikocheni, tayari kampuni ya Yono imeshatua jijini Dodoma itakapoanzia kazi ya mnada kwa kuanza na apartments za Musiba zilizoko Ihumwa, nyumba yake ya Chamwino, guest house yake ya Msalato na shamba la hekari 10 njia ya Singida.
Baada ya hapo Yono atatimba apartment ya Kigamboni, shamba la hekari 5 Bagamoyo kabla ya kugeukia mitambo yake ya uchapaji iliyoko jengo la Exim ghorofa ya 8 jirani na Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es salaam.
Kwa mjinga mchawi ataona kuna connectionHapo vp?
Na badoKwa mjinga mchawi ataona kuna connection