Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba


Ni kibri cha kijinga! Ye kafanya mangapi ya hovyo alipotoka CCM kuelekea ACT? Mbona kasamehewa na karejeshewa hadhi zake pasipo kujali usaliti alioufanya.
 
Hajafulia ila lazima nidhamu iwepo ya kuheshimiana
 
Makada wa CCM Kadinali Pengo na Askofu Malasusa waache unafiki wao,wakati kada mwenzao Cyprian musiba anatukana viongozi kwa nini hawakumkemea? Membe kanyagia hapo hapo.
 

Yaani huyo Ustaadhi mvaa kibandiko kwa kujificha unamweka kundi la Jesuits kabsaa kha, tuache ujuaji basi
 
Ngoma imenoga
 
Ameguswa sasa ananuka kiukweli
 
Ki
Kinyongo mmekiona leo kuliko waliokuaa wanateka watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…