Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Membe itakua kafulia anataka hela hakuna kingine hapo nimemshtukia.
Hii kesi ya Membe siyo ya Kwanza hapa Tanzania. Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 SAS alifungua kesi ya aina hiyo hiyo na akashinda. Lakini baada ya uamuzi wa mahakama SAS hakuwakalia kooni waandishi aliowakuwa anawashitaki wamlipe pesa zile bali aliwanyamazisha tu. Sijui vizuri sheria za Tanzania kwa sasa kuhusu utekelezaji wa kesi za madai (civil case) kwani siamini kuwa hii ni criminal case inayoweza kumpeleka Musiba jela. Inaweza kuishia kuwa kama kesi ya OJ wakati ule kabla hajakutwa na criminal case Las vegas, yaani Musiba akipata pesa kiasi fulani basi amgawie pia Membe kidogo! Membe kweli alitaka awe Raisi .

Unfortunately, baada ya hii drama, siamini kama Membe anaweza kurudi kwenye politics tena; imeshatoika. Picha hii inafundisha sana; kama hujawahi kuiona, fuatilia kutafita maana yake.

screen-shot-2014-03-01-at-1-46-57-am.png
 
Kwa nini haku appeal mpaka case ifike mahama za EAC, yaani yeye angeenda na mwendo wa ku apeal tu!
Sidhani kama hii case ilifika kwenye Mahakama ya Rufaa!
Well I’m just curious [emoji3166]
Sasa Kama apeal zake hazina mashiko atafanyaje Sasa!!?
 
Musiba nyang'au kweli aliacha kumwangukia membe, anaenda kumwangukia pengo
Pengo na Musiba wote ni Sukuma gang, kwakuwa Membe ni Mkatoliki walidhani Membe anaweza kushawishiwa na maaskofu matapeli kama huyo Pengo.

Vatican wenyewe walimshamkataa Pengo kabla hajastaafu wakamuwekea Askofu mwandamizi Ruwaichi maana Pengo alizidi uchawa.
 
Kwa nini haku appeal mpaka case ifike mahama za EAC, yaani yeye angeenda na mwendo wa ku apeal tu!
Sidhani kama hii case ilifika kwenye Mahakama ya Rufaa!
Well I’m just curious [emoji3166]
Yeye alidharau kumbe mwenzie yuko serious na anachokifanya. Sema una appeal vipi na records zipo. Utayakataaje maneno uliyoyasema au kuyaandika?

Kingine Membe ni mtu wa kuvimba na amepata chance ya kujivimbisha sababu utawala wa kwao huu. Alijitunisha kwa JPM ila hakufua dafu sababu system haikuwa upande wake. Karata zote ziko kwake sahizi alitingishwa sana ila nae amepata chance ya kumtingisha boya sasa 🤣
 
Back
Top Bottom