Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Hutaki unaacha.
Sasa wokovu wa Tanzani uko karibu sana kuliko tulivyoanza kuamini.
Mnara wa Babeli lazima uanguke.

Hutaki unaacha!
 
Reactions: Ame
Kuamini kuwa jk anaweza kushiriki ku 'eliminate his enemies' ni non sense; JK yuko incompetent hata kwenye ku fight his enemies...

Halafu yeye alichotaka ni kuwa rais na ameshakipata....sasa 'aji risk 'kiwango hiko?

Hiyo siamini...
..

Mkuu kuhusu kuaminika kwa story bila facts siwezi kubisha..., ila issue ya it does not make sense..., mtoa mada ametoa motive ambayo ina hold water..., kwamba hawa jamaa kwa maovu waliyofanya na kufuja mali zetu watahakikisha anaerithi kiti ni mtu wao ili kesho au keshokutwa asije kuwaumbua..., (yaani wanalinda interests zao)
 

Well said Mkuu !
 

Hili nalo neno.......!
 
Something like Sindbad adventures! or may be George Orwell "1984"
 
ukiwasikiliza jason bourne, salma 2015, na hutaki unaacha, plus mwanakijiji unatamani kufa

Yani RF umepatia kabisa hawa unasoma thread zao with high caution maana ni shocking news tu kwa kwenda mbele.
 
wakati mwingine unaweza kuamini kabisa kuwa TZ imefikia kama Sicily Italia enzi hizo... rejea masimulizi ya Mario Puzzo

MM tunaongozwa na genge la kimafia....Tunahitaji ukombozi wa haraka sana jamani,la sivyo siku yaja tutakuta nchi ipo kwenye hali mbaya,mgawanyiko huu usije ukaingia hata kwenye jeshi letu,maana kama ni hivyo kuna harufu ya damu kumwagika Tanzania..Mungu saidia!!!
 
unaniacha hoi unapomsifu JK....hivi hujui huyo alikuwa mtoto wa Chief? na unaweza ku-substantiate vp kuwa JK ni msafi? na ni kwanini marais watoke Foreign Ministry kuna nini kimefichika huko?
 
kweli wajinga ndiyo waliwao,,hivi ww kwa upuuzi wako unadhani membe anayosifa ya kuwa rais wa Tanzania? ww bure kweli huo ungempa ww na ndugu zako tu,,lakini siyo kupitia kwetu wanamapinduzi wa kweli na wajamaa wa kweli tunafuata misingi ya baba wa taifa,,MEmbe akiwa rais Tanzania linakuwa chaka la wahuni kama yeye
 
Sioni kama kuna ajenda ya maana na ya msingi hapo mnapoteza muda kujadili utumbo wa Membe huo
 
Mkuu ni movie based on a fiction book by Mario Puzzo THE LAST DON (Actually the book is better than the Movie)

VOR naona unaitaji kuingia darasani kidogo kuhusu hawa jamaa hiyo movie ni story ya mafia based on true story iliyotegenezwa kuelezea mfumo wa shughuri za kimafia kuanzia miaka 1922 ya ndani ya Taifa la Marekani na hicho nilichokitoa mimi ndio ufahamu wangu katika kupitia vitabu na kusoma makala mbalimbali [USA -1922].Haya mambo ya jamaa hawa naona wewe unaona ni vitabu ya kuigiza [fiction Story] kamwe haya ni mambo ya kweli.Na kwa wenzetu Hooly wood ni watu wenye kutengeneza vitu ambavyo wakati mwingine aviendi mbali sana na ukweli wa mambo yao mengi haswa zinapokuja kwenye angle za kisiasa na kiuchumi.

Hata issue ya JFK Rais wa Marekani miaka ya 1960 alikumbana na mziki wa hawa jamaa baada ya kuwa alikuwa na mahusiano na superstar, mcheza sinema na mwimbaji Marilyn Monroe [Beyonce wa zama hizo] kwa miaka hiyo ya late 50s na early 60s.Walikutana na JFK miaka ya 1954 na wakaja kuwa wapenzi lasmi [President's Lover] mwaka 1961 December yani ndani ya mwezi huo Tanzania inapata Uhuru.Lakini binti huyo aliingiza familia ya JFK kwenye mgogolo kiasi kuwa bwana mdogo wa Rais ambae alikuwa mwanasheria wa Serikali ya Marekani RFK [Attoney General] nae akaanza kula mzigo ulio liwa na kaka yake yaani JFK ,kiasi kuwa Wazazi wao kennedy family wakamwomba dogo kutema mzigo huo haraka sana baada ya kujua hilo.

Katika familia kutema mzigo huo mdau wa mafia akaibuka Don Sam Giancana akawa anatafuna mzigo, na makazi yake ya kutafuna mzigo yalikuwa kwenye mjengo [mansion] ya mwanamziki maalufu enzi hizo Frank Sinatra [kwa wazungu wanamziki wa kizazi cha sasa hakuna mfano wake]. Sasa pata picha je wakati mkuu Presidar anatafuna mzigo The Don Sam nae alikuwa anakula pamoja nae pamoja.Mrembo huyo alikufa mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya ya bosi kujua kuwa mtoto kaliwa uroda na Don Sam katika Bangaroo la Frank na wakati huo aliaga dunia na kuacha taarifa kuwa wahusika wa kifo chake ni nani.Baadae mwaka mmoja 1963 Rais wa Nchi ya Marekani JFK nae akaondoka kwa kuuwawa [Asssination] na muuaji ambae pia aliuwa na kuacha kizungumkuti cha tukio zima.

Kwa hivyo hizi sio hadithi za kuigiza haya ni maisha ya kweli na yapo mpaka sasa,inatagemea unayachukuliaje.


Ndugu watatu wakwanza kulia ni Mwanasheria ni RFK katika ni Senator EMK na wa Mwisho ni President Mwenyewe JFK


Mrembo na Msanii Maarufu Marilyn Monroe na Mwanamziki gwiji Frank Sinatra [Yaani hao ni Jay Z na Beyonce wa Miaka hiyo ya 1950-1960]


The Don Sam Giancana [Mafia Don] aliyemtafuna mrembo Marilyn Monroe nyumbani kwa Frank Sinatra.
 
dah!post ya HUTAKI UNAACHA imenisikitisha saana.Dah!Mwakyembe,Mwandosya....!Nchi yetu ilipofikia sio siri ni PABAYA SAANA.
 
Kwa mtazamo wangu Membe asipoteze muda wake na nguvu kuota uraisi labda acheze karata yake kuendelea kuwa Waziri wa wizara husika au PM.
Lakini ni vizuri ili kuweka mambo sawa na kuwa na uwanja huru wa mpambano inafaa 2012 Mzee wa Kaya kuwekwa pembeni na kumpisha Mwenyekiti wa muda wa CCM (2012-2015). Mkakati huu ni muhimu ilikuiweka sawa Chama na hapa ningelishauri Vijana kuchukua jukumu hili haraka iwezekanavyo.Zoezi hii la kutengeneza Mrithi wa JK toka pale magogoni litakuwa limekwisha.
Mkakati huu utaleta nafuu kwa wanaoota ndoto ya urais 2015 pamoja na kwamba pesa ndiyo itakayoelekeza nani ni nani hasa siku ya siku.
 
Siku hizi ukiumwa.umepewa sumu na jk,hahaha..lipumba nae alikua india nae alipewa sumu eh?..malecela nae huh?
This is bullsheet
 
Join Date : 19th September 2010
Posts : 5
Rep Power : 0

uchache wa post zako na urefu wa uzi wako nilitaka kuidharau, but i was wrong nimepatakitu mkubwa kwa siku ya leo.siasa ni mbinu nimekubali.thanks.
 


food for thought


huna habari? Kajini tatizo la membe ni njaa..na kama ujuavyo money talk people listen ...ndio maana membe anapush huu mradi wa id kama hana akili vizuri vile..in short membe keshaanza ufisadi urais hajaupata








​
 
membe hana sifa ya kuwa rais,we need president like mkapa
 
Wakati mnafikiria kuwapigia kampeni viongozi wenu nani awe rais 2015 jaribuni pia kufikiria ni jinsi gani mtatuletea maendelea sisi walala hoi mana miaka mitano imepita na blabla sasa hivi mnakuja kivingine......shame on u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…