Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

Wakuu,
Pamoja na kwamba azma yamuanzishaji wa thread ilikuwa kuweka Vibweka vya Wakubwa (Mh.Membe na WM.Lowassa) kugombania tenda nafikiri bila kusudio, suala la National ID au sijui ID hususani nyakati hizi- za midahalo mingi inayozungumzia Ufisadi-linaweza kupita bila ya kujua nini kilichofanyika, Alas tis is a 'Game Theory'
My view ni Vibweka haswa, Tukija kwenye ID nitakubaliana na wachache na hoja, Timing.

Je ni wakati muafaka? Hakuna njia za kuboresha mifumo iliyopo?

Asante.
 
Mimi nadahani hapa hoja ni hivyo vibweka vya wakubwa na si priorities za maendeleo. ID's remain to be very important for every Tanzanian to have.
 
Mimi nadhani hii ni UDAKU.

Kuna uthibitisho gani kuwa Membe ana kampuni na anamtumia Mwikalo kama front man wake?, Ina maana Mwikalo akiamua kuwa na kampuni yake na ujuzi anao, asipewe kwasababu anamjua/kufahamina na Membe?!

Acheni wivu jamani!
 
GT, ahsante kwa kuileta hii topic.

Tukiwa tunasubiri maoni ya wengine kuhusu tenda zitakazo waendea wahusika katika programme hii (in conception); kwa sasa nitaanza tu kwa kusema kuwa 'Naupinga huu mpango wa vitambulisho vya kitaifa kwa nguvu zangu zote'. Nasema haya nikiwa na argument ambayo iko based on practicability za mpango huu.

Najua wengine wataunga mkono au wengine watapinga kutokana tu na wale watakao pata tenda. Mimi napinga pragmatically.

GT, Kuna topic nyingine tayari ipo ambayo inaongelea hii kitu... subiri nii search na kucheck kwanza imefikia wapi.

SteveD.

Steve na wingine! Nakubaliana nanyi mia kwa mia. Tunashindwa ku'control' upatikanaji wa pasi itakuwa huo wa I.D? Na hizi pasi zinatolewa kwa wachache itakuwa hizo I.D amabzo zitatakiwa zitolewe hata na makatibu tarafa kama kweli tunataka kila mwananchi awe nazo!

Hatuko serious. hao wananchi ambao nauli ya sh. 100 itakuwa ni tatizo watamudu vipi kulipia hizi I.D? au ndiyo tena itakuwa kama michango ya shule? watu walundikwe ndani hadi hapo watakapoweza? Si wakati wake!
 
Fundi na wengine, mmeongea maneno mazuri... Ukweli ni kwamba ni kweli tunahitaji IDs lakini tatizo ni kwamba kwa sasa tuna priorities ambazo kwa kweli ni muhimum zaidi. Kama ilivyosemwa mwanzo, tupate maji ya uhakika, umeme, usafiri na mengine then tuangalie "extras".... Kama Fundi aliposema hapo juu, kupata pasi ni shida itakuwa IDs, mimi nadhani wakati tunaendelea na priorities nyingine hili la ID can be coupled into lile la "Daftari la wapiga kula" kunradhi wapiga kura! Ninajua kwamba hili ni rongorongo pia lakini tukumbuke kwamba ile orodha/records za vizazi na vifo ni kama mfu manake hakuna kitu kule.... Umeshajaribu kupata cheti cha kuzaliwa cha mtoto?? Si utani hata pasi sio hivyo manake ni upuuzi mtupu!!

Back to the point ni kwamba hata kama wazee wanagombea kupata tenda, sisi tuegemee zaidi kwenye "Je hizi Tenda zina manufaa au ni njia nyingine ya kutengeneza ulaji" tusije kurudi kwenye yale mamiradi ya kupumbazana (angalia new car registration, so called new dring licence-to come, pasipoti mpya - forged within first year of introduction na mengine meengi tuu!!!)
 
Mimi nadhani hii ni UDAKU.

Kuna uthibitisho gani kuwa Membe ana kampuni na anamtumia Mwikalo kama front man wake?, Ina maana Mwikalo akiamua kuwa na kampuni yake na ujuzi anao, asipewe kwasababu anamjua/kufahamina na Membe?!

Acheni wivu jamani!

MZEE TUELEWANE

hii issue ni kweli kabisa na huyu MEMBE ambaye kusema ukweli nilidhani angeweza kuleta mabadilo makubwa pale Foreign lakini tayari keshaniboa na sasa sioni kama ana interest yoyote na ile nchi.

Hivi kweli how long does it take kufungua website ya Foreign? well, mnaweza kuliona hili ni jambo dogo lakini ukweli unabaki kuwa kama anashindwa jambo dogo kama hili what makes you think anaweza mambo makubwa?

Surprisingly huyu Membe alitaka kushindana na Agostino Mahiga! what a twat!

Mzee hili la Ugomvi lipo na Membe anatumia u close wake na jamaa "ofisi kubwa" kumfanyia FITNA waziri mkuu

ES, nakumbuka wewe ndiye unayesema TUMKOME NYANI GILADI...well i dont think kama tunaweza tukalalmika kuwa wana siasa wana double standards halafu na sisi tunaendelea kufanya hivyo au unasemaje mzee?

ASSAH MWAMBENE ni msemaji mkuu wa MEMBE au whatever they call him nowadays, na kwa kuona umuhimu wa kukeep intouch na yanayojiri kwenye JF aliamua kujiunga kama walivyojiunga akina MARJORIE MBILINYI,ZITTO KABWE,FREEMAN MBOWE na bila kumsahau JJ MNYIKA just to name a few.

muhimu ni huyo bwana MWIKALO na hiyo grand project ya MEMBE tuone itafika wapi na je inamanufaa kwa nani? and why now?

Najua kuwa my day will very long na najua as time goes by WE WILL KNOW WHAT WE DIDNT KNOW na huu si udaku
 
Mkuu GT,

Was it necessary kumtaja huyo mkuu ambaye sijui kama kweli ni member hapa, je akiwa ni member kweli huoni kuwa hilo ulilofanya ni kinyume na utaratibu wetu hapa JF?

Ningewaomba Mods wafute hilo jina kwa kweli sio tabia njema hii, hivi kwa nini hiii JF hatuwezi kuelewana kwenye hili la majina na ID za members hapa?

I mean ishu ni nzito na ni safi sana, lakini kumtaja member inaharibu kabisa mkuu utamu wa hoja yako.

Kama huyu A.M anatumia jina lake halisi humu kama wafanyavyo mashujaa wengine kama Mnyika,Zitto n.k. sioni tatizo maana yeye mwenyewe hakutaka kujifika kama tufanyavyo wengine.

Ila kama anatumia jina lingine na aliyeleta mada akaliunganisha na jina lake halisi hapo ( kama jamaa mmoja alivyotaka kumfanyia Field Marshall) angestahili karipio la nguvu. Mimi hapa sijui lipi ni kweli.

Nadhani hii mada inaonyesha umuhimu wa waheshimiwa wote kuweka wazi interest zao(na ndugu zao wa karibu) kwenye makampuni ya biashara ili kuepusha potential conflicts of interest. mimi binafsi ningefurahi zaidi kama mawaziri na viongozi wote wa serikali wa juu wangejitoa katika kufanya biashara wakati wa utumishi wao.

Mtu afanye uamuzi, anataka public service au biashara! Hii kuendelea kuchanganya hivi viwili ndio kunasababisha shutuma kama hizi. Hii haikwepeki. Watu wataendelea kuamini zinapotokea dili kama hizi ambazo hazieleweki ni kuwa zimeletwa ili watu wale hata kama sio hivyo.
 
MZEE TUELEWANE

hii issue ni kweli kabisa na huyu MEMBE ambaye kusema ukweli nilidhani angeweza kuleta mabadilo makubwa pale Foreign lakini tayari keshaniboa na sasa sioni kama ana interest yoyote na ile nchi.

Hivi kweli how long does it take kufungua website ya Foreign? well, mnaweza kuliona hili ni jambo dogo lakini ukweli unabaki kuwa kama anashindwa jambo dogo kama hili what makes you think anaweza mambo makubwa?

Surprisingly huyu Membe alitaka kushindana na Agostino Mahiga! what a twat!

Mzee hili la Ugomvi lipo na Membe anatumia u close wake na jamaa "ofisi kubwa" kumfanyia FITNA waziri mkuu

ES, nakumbuka wewe ndiye unayesema TUMKOME NYANI GILADI...well i dont think kama tunaweza tukalalmika kuwa wana siasa wana double standards halafu na sisi tunaendelea kufanya hivyo au unasemaje mzee?

ASSAH MWAMBENE ni msemaji mkuu wa MEMBE au whatever they call him nowadays, na kwa kuona umuhimu wa kukeep intouch na yanayojiri kwenye JF aliamua kujiunga kama walivyojiunga akina MARJORIE MBILINYI,ZITTO KABWE,FREEMAN MBOWE na bila kumsahau JJ MNYIKA just to name a few.

muhimu ni huyo bwana MWIKALO na hiyo grand project ya MEMBE tuone itafika wapi na je inamanufaa kwa nani? and why now?

Najua kuwa my day will very long na najua as time goes by WE WILL KNOW WHAT WE DIDNT KNOW na huu si udaku

KWANI HUYU MKUU WA DIPLOMASIA HAPA KWETU AMEMSAHAU DR.HANS KITINE? THUBUTU YAKE . SIDHANI KAMA ATAINGIA KTK MTEGO HUO KAMA ANAMKUMBUKA HUYU MZEE.
TUNASUBIRI, SO FAR JK HAJAPUNGUKIWA NA WAZIRI KWA KUJIUZURU ,THAT'S GOOD.
 
Kwa heshima na taadhima...GT

MZEE TUELEWANE

hii issue ni kweli kabisa na huyu MEMBE ambaye kusema ukweli nilidhani angeweza kuleta mabadilo makubwa pale Foreign lakini tayari keshaniboa na sasa sioni kama ana interest yoyote na ile nchi.

Mabadiliko unayotaka wewe au?

Hivi kweli how long does it take kufungua website ya Foreign? well, mnaweza kuliona hili ni jambo dogo lakini ukweli unabaki kuwa kama anashindwa jambo dogo kama hili what makes you think anaweza mambo makubwa?

How long?

Surprisingly huyu Membe alitaka kushindana na Agostino Mahiga! what a twat!

Unaleta za kuleta-Kwani na hawa walikuwa wanagombania tenda...Shabash!

Mzee hili la Ugomvi lipo na Membe anatumia u close wake na jamaa "ofisi kubwa" kumfanyia FITNA waziri mkuu

Ukiondoa kazi za serikali how would you have acted?

ES, nakumbuka wewe ndiye unayesema TUMKOME NYANI GILADI...well i dont think kama tunaweza tukalalmika kuwa wana siasa wana double standards halafu na sisi tunaendelea kufanya hivyo au unasema,je mzee?

Nakubali-oops! kumbe ES...

ASSAH MWAMBENE ni msemaji mkuu wa MEMBE au whatever they call him nowadays, na kwa kuona umuhimu wa kukeep intouch na yanayojiri kwenye JF aliamua kujiunga kama walivyojiunga akina MARJORIE MBILINYI,ZITTO KABWE,FREEMAN MBOWE na bila kumsahau JJ MNYIKA just to name a few.

Your Intentions from the start were highlighted-sasa kama huyo AM anasema kwa makuu wewe unatatizo gani?
muhimu ni huyo bwana MWIKALO na hiyo grand project ya MEMBE tuone itafika wapi na je inamanufaa kwa nani? and why now?

Unasomeka na kusikika kama Nakandamiza Kibara...msome

Najua kuwa my day will very long na najua as time goes by WE WILL KNOW WHAT WE DIDNT KNOW na huu si udaku

Game Theory ajikanganya- Jee huu ni udaku pia?

GT
Do you still have game?
 
mie nawashangaa hawa mawaziri,Kwanini wasigombanie miradi ya kuweka maji tanzania Nzima au hii haina 10%?
 
ES mimi sioni sababu ya kufuta jina la Mwikalo kama ndiyo wasi wasi wako.

Hata kama mimi Lunyungu nashiriki uozo ama ES nikijua lazima nina kukoma giladi. Hakucha cha mwanachana wala ninio.

Jina libakie watu kama wako hapa jambo na bado wanshiriki upuuzi watajwe tu sina neno nao.
 
....huyu membe anautaka urais kama fisi...na huu mradi kama ni kweli anataka aupige..itakuwa ni ni katika kutunisha fuko lake ..ila angalau wakati wa kampeni utakapofika atakuwa na pesa angalau ya kutosha kugharamia primaries...

huyu lowassa atakuwa hataki membe apate kwa kuwa anamuona tishio "si walikuw WAKIWANGA WOTE ILI MUUNGWANA ASHINDE"..SASA kwanini tena kugombana....lakini wote hawa wakae wakijua spinning na dhambi walizowafanyia watu kama dr kitine,iddi simba,sumaye,mwandosya,salim ets zitawatafuna na wao..na kwa sasa wamshukuru Mungu kwa achievement waliyofikia ILA LA URAIS WOTE WAUSAHAU!!!!

Hiyo pesa ya vitambulisho ..nasiikia bilioni 80 kama ni kweli ipo ...ikajenge barabara za kulink rwanda na uganda ili majirani zetu wapate huduma na sisi uchumi ukue ...kitambulisho mimi sitaki..kadi ya kupiga kura inanitosha ,...wakenya wana vitambulisho KIPANDE SYS ..vimewasaidiani???

inajulikana kuwa membe alipokuwa naibu waziri wa mambo ya ndani hili deal alilichungulia....kabla hajalialia akapewa wizara nzuri [kimalengo]...lakini ajue kama yeye anajifanya mtoto wa mjini kibiashara hawazidi MASHA au WAZIRI wake..hata wao wanaweza kuitaka hiyo deal...
 
GT,

Ni kweli najua Mwikalo ana uhusiano wa karibu na Membe toka walipokuwa wote Canada.

Lakini ni kweli Mwikalo anahusika na huo mradi? Huyu jamaa ni katika Watanzania waungwana ninaowafahamu na nitashangaa sana kama atataka kujihusisha na ufisadi kwa njia yoyote ile. Labda kama ameingia kwa lengo la kusaidia.

Mradi wenyewe ni bomu na kwa Mwikalo kujihusisha nao itakuwa balaa kubwa kwake.

Lakini kwa TZ ya sasa mtu huwezi kushangaa kitu maana ni kama wote tumekuwa mafisadi.
 
Kwangu mimi, huu mpango wa vitambulisho usubiri rural electrification at least by 80%, usubiri postcode scheme (angalau kwa dar) kukamilika- sembuse nchi yote...!!, usubiri network ya trunkroads walau 5 za kuunganisha mikoa yote katika kiwango cha lami, usubiri upimaji miji/ardhi wa Tanzania yote, usubiri kukamilika kwa fibre optic network Tanzania au hizo wireless network at least by 60%, usubiri coverage ya TVT na Radio kwa nchi nzima at least by 85%..... ndipo tuangalie uwezekano wa kila mmoja wetu kuwa na kitambulisho hicho.

SteveD.

.....bwana steve hapo umemaliza sijui hao pro wa hii kitu phony ID wana nini cha kuongea,hii kitu iko driven na maslahi ya watu fulani na ulimbukeni tuu.
 
mie nawashangaa hawa mawaziri,Kwanini wasigombanie miradi ya kuweka maji tanzania Nzima au hii haina 10%?

Na umeme pia mkuu!
Takwimu zinaonyesha kwamba 10% ya wabongo woe ndio wenye access na umeme, wengine wote 90% tunatumia vibatari, kuni, mkaa na samadi.

Naona wangeshindania hili pia, katika kutanya rural electrification!
Nawasilisha.
 
Idimi,

Mkuu Umeme sii EL walijaribu Richmond na kupata hapo kula? Au umesahau?

Hii ni njia nyingine ya 10% ktk ulaji tu! Hizi pesa zingeweza kufanya kazi kujenga na kukalilisha daraja la Malagarasi kule Kigoma!
 
Idimi,

Mkuu Umeme sii EL walijaribu Richmond na kupata hapo kula? Au umesahau?

Hii ni njia nyingine ya 10% ktk ulaji tu! Hizi pesa zingeweza kufanya kazi kujenga na kukalilisha jarada la Malagarasi kule Kigoma!

Nakupata mkuu.
Sijui hawa wenzetu huwa hawajisikii wivu wakipita nchi zilizoendelea na kukua hakuna vumbi, lami tu!
Sasa hapa wanashindania tenda ya vitambulisho ili wale 10%, yaani zile za umeme hewa bado hazijawatosha tu!

Uroho mwingine bwana!
 
Hii issue inapanuka hapa lakini the bottom line is vubweka vya wakubwa bali ni UFISADI mpya . Mwikalo ni rafiki wa karibu sana na Membe .US walikuwa wote na hata tulipouwa Dodoma kwenye Congress yetu ya CCM Mwikalo alikuwapo na Membe.

Hapa kama kweli Mwikalo anahusika pamoja na ustaarabu wake basi naomba tukaze uzi mapema kujua jina la Kampuni nanyendo zao zote ili tuwape wananchi taarifa kupitia JF .
 
Back
Top Bottom