Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

Uchaguzi 2020 Membe kuunguruma Alhamisi 16 Juni 2020

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
TAARIFA KWA UMMA.

Kesho tarehe 16 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia mbobezi Ndugu Benard Membe atazungumza na Wanachama wa ACT Wazalendo.

Ukumbi: Mlimani City

Muda: Saa 4.00 Asubuhi.

Waandishi wote mnakaribishwa.

Janeth Rithe, Naibu Katibu, Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, ACT Wazalendo.

Simu: 0745899913

15 Julai 2020.

IMG_20200715_164029_010.jpg
 
TAARIFA KWA UMMA.

Kesho tarehe 16 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia mbobezi Ndugu Benard Membe atazungumza na Wanachama wa ACT Wazalendo.

Ukumbi: Mlimani City

Muda: Saa 4.00 Asubuhi.

Waandishi wote mnakaribishwa.

Janeth Rithe, Naibu Katibu, Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, ACT Wazalendo.

Simu: 0745899913

15 Julai 2020.View attachment 1507601
Hana jipya huyo
 
Chadema inazidiwa kete na ACT! kwanza walimnyakua Maalim Seif kitendo hicho kiliwaudhi sana chadema, Yerico Nyerere mpaka leo ana maumivu ykihotokana na kitendo cha Zitto kumnyakua Seif!

Safari hii tena wamenyakua Membe huku chadema ikiendelea kukuna sharubu tu na mwenyekiti wake kuteguka kwa ulevi na kusingizia amepigwa na selikali!

Mbowe sijui anajisikiaje anapoona chama cha Zitto kina shine, mtu ambae akimfukuza kama mbwa, huku wafuasi wa Mbowe wakimtukana Zitto matusi ya kila aina?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom