Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale yale ya 2015!
TAARIFA KWA UMMA.
Kesho tarehe 16 Julai 2020, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, Mwanasiasa na Mwanadiplomasia mbobezi Ndugu Benard Membe atazungumza na Wanachama wa ACT Wazalendo.
Ukumbi: Mlimani City
Muda: Saa 4.00 Asubuhi.
Waandishi wote mnakaribishwa.
Janeth Rithe, Naibu Katibu, Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma, ACT Wazalendo.
Simu: 0745899913
15 Julai 2020.View attachment 1507601
kwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
Unaishi kwa ajiri ya madaraja??bro wewe hupendi madaraja?
Yohana atakuwa anamtafutia Zengwe ..... Kama kweli angekuwa na makandokando naamini wangekuwa wameshamfanyiziaPoliccm lazima wamsubiri mlangoni
Nyie kinawauma nini?Yale yale ya 2015!
kwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Safi sana ,Go Membe uje umpige za uso JIWE!! Membe for Presidency 2020.
Huna issuekwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ? Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu
Tatizo kula za upinzani zitagawanywa. Itakuwa vyema kwa upinzani kama Membe na Lissu wakaweka makubaliano ya kumsapoti mmoja wapo kwa nafasi ya uraisHili collabo la Membe na Lissu litakuwa hatari sana kwa CCM
Precisely my point!!kwamba sisi hatuna akili za kujifunza ya nyuma ?
Just prove me wrong...Muwe na subira na Pia mtambue Kuwa Kuna Watu wana akilitimamu