Kwani upinzani ni uhaini, Katiba si inaruhisu,Membe
Hafai kabisa. Fadhila alizopata ndani ya CCM hawezi kuzisaliti kamwe kwa kuwapenda wapinzani. Lakini pia ikumbukwe huyu alikuwa Mwana inteligensia wa kada ya juu sana. Kiapo chake hakina tofauti na cha Freemason. Huyu alikuwa mwanadiplomasia wa kimataifa akiwakilisha nchi kiapo chake ni sawa na cha Illuminati. No way anaweza kwenda kinyume na viapo vya serikali ya ccm na dola zake. Nashindwa kuelewa ung'amuaji wa mambo haya wa Akina Zitto et al. La sivyo tutaanza kuamini kumbe na wao ni kundi moja tu.
Unadhani upinzani utaweza shinda na kuapishwa bila support ya intelligence?