Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Lugha inayotumiwa na aliyekuwa mseminari, na kisha kuwa kachero mwandamizi....#wabwekaji
 
Wachaga mna shida sana! Hivi hii nchi ni yenu pekeenu?

Alafu kwa nini wanaolalamika ubaguzi wa Rais ni wachaga tu,? Yani katika makabila zaidi ya 200 wachaga tu ndio wanalalamika mna nini nyie?
Acheni upumbavu bwana

najua wewe ni product ya "shule za kata a.k.a Zero brain" na ulimaliza kipindi cha "voda fasta" na una uelewa mdogo sana.

1. makabila yapo 136

2. Kaskazini ni :-
[a] TANGA
ARUSHA
[C] KILIMANJARO
[D] MANYARA
Wewe kwa uzombi wako, hiyo mikoa yote inatoa wachagga?
Umewahi kuskia wachagga wajinga kama wewe, kwani wamewahi kuwa na WAZIRI MKUU AMA RAISI TOKA KWAO MPAKA WALALAMIKE?

1. SOKOINE- MASAI

2. SUMAYE- MBULU- IRAQ

3. LOWASSA- MMERU WA AKHERI[KALOWEA UMASAINI MONDULI]


4. MSUYA D.CLEOPA --MPARE

Sasa wewe zombi , hapo kuna mchaga yupi?

MARAIS

1. NYERERE-ZANAKI

2. MWINYI-TUNGUU

3. MKAPA- MAKONDE

4. KIKWETE- KWERE

5. MAGUFULI-- TUTSI


Hapo kuna mchagga?
 
Kwa hiyo jamaa anakaa kijijini rondo ? ni mkulima kwa sasa au? Anasubiri zamu pale Nyerere alipaita patakatifu akapige
 
Membe ni kilaza kama kilaza mwingine.sana sana atakuwa rais wa familia yako tu...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna wakati hata kama hutaki kuamini utajikuta unaamini tuu kuwa ccm ni kusanyiko lililo jaa IQ below average
 
Magazeti ya cyprian Musiba hayana wanunuzi hakuna Mtanzania mwenye busara na hekima ataenda kukununia gazeti hizo za kufungia mandazi
Hata ukifungia maandazi ukienda kula unaweza kupata kansa ya ubongo
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika


Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Una ushahidi au unabwabwaja
 
Huyu Musiba anavyo watukana hawa watu siyo bure kuna nguvu inayo mlinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…